Chombezo: Chachandu za Beka wa Tanga

Chombezo: Chachandu za Beka wa Tanga

SEHEMU YA 28

ILIPOISHIA
Mpenzi msomaji , wiki iliyopita niliishia pale
Beka alipoingia chumbani kwake na kuanza
kumfikiria Rhoda na Rey kitendo
kilichosababisha ‘ mkuu wake wa kaya’
kuchachamaa akaamua kumtuliza kwa
kumshika ndiyo akaongeza majanga. Je,
kilifuatia nini ? Songa mbele…
ENDELEA. ..
Kijana huyo ambaye muda huo alikuwa yupo
kama alivyokuja duniani, alijikuta amesimama
akawa anazunguka chumba kizima huku
kamshika ‘ mkuu wake wa kaya . ’
Hata hivyo , haikusaidia kwani alichokihitaji
muda ule ni ‘ kiumbe ’ wa kumpa mkomboti
wa nguvu lakini ikawa imekula kwake kwani
hakuwepo Rhoda wala Rey .
Baada ya kuteseka kwa dakikaa kadhaa
alirukia kitandani ambapo aliapa kesho yake
asubuhi na mapema kwenda kumsaka Rey
nyumbani kwao na kwa kutumia fedha
alizopewa na baba yake kuzama naye
chimbo ili kuondoa udhia.
Kwa kuwa muda ulikwenda hakuchukua
muda mrefu akapitiwa na uzingizi, pale
sebuleni mzee Kibandiko aliyekumbuka jinsi
mwanaye Beka alivyomtaiti ‘Mutu ’
kichochoroni, si naye joto likampanda .
Alichokifanya mzee huyo ambaye alikuwa
anajimudu kila idara yaani akiwa katika
uwanja wa fundi seremala lazima mtu alie na
kwa upande wa kula chabo ndiyo
usipime, alimwangalia mkewe jinsi alivyonona
akajisemea moyoni :
“ Hata kama jana tulikutana leo sikuachi ng ’o
hiyo ndiyo kazi uliyojia hapa kwangu . ”
Baada ya kuwaza hivyo , akainua miguu yake
na kuilaza mapajani mwa mkewe kisha
akamkonyeza, mkewe akashindwa kujizuia
kucheka.
“ Nilijua tu kwa jinsi ulivyofurahi leo
sitapona !” mkewe alimwambia.
“ Umeona eh , nitakuwa mwanaume wa ajabu
sana nisipokupa raha mke wangu si unajua
hiki ndiyo ulichokifuata kwangu ?” mzee huyo
alimwambia mkewe huku akimuonesha kwa
ishara sehemu yake kuu. Mkewe akiwa
anacheka kutokana na vituko vya mumewe ,
mzee Kibandiko alikuwa ameinuka na kaanza
kuyashambulia maeneo ya moto ya mkewe,
mama wa watu akaanza kuhemka .
Wanandoa hao waliendelea kuleteana fujo
pale kwenye kiti si mzee Kibandiko akaanza
kutoa kiwalo kimoja kimoja cha mkewe.
“ Baba Beka bwana! Hivi unajua mwanao
anaweza kuingia huku sebuleni?” mkewe
alimwuliza .
“ Kwa ninavyomjua hawezi kuja kwa sababu
akilala huwa hana kawaida ya kuamka
mpaka asubuhi, shaka ondoa mama!” mzee
Kibandiko alimwambia mkewe na kuliminya
ziwa moja la mkewe, mkewe akajirusha juu.
“ Haya bwana , ila mwenzio sina amani
kabisa , hivi kwa nini tusiende chumbani?”
mkewe alimwuliza .
Kufuatia kuulizwa hivyo , mzee Kibandiko
ambaye macho yalimuiva alimwambia kama
Beka akiingia sebuleni na kuwakuta ndiyo
akili itamkaa sawa .
“ Eh ! Mtoto kuona tunavyofanyiana akili
itamkaa sawa ! Ila wewe baba Beka
inaonekana kichwa chako hakiko sawa !”
mkewe alimwambia .
Baada ya mkewe kutoa kauli hiyo , mzee
Kibandiko alimuachia mkewe akainuka na
kuelekea kwenye mlango wa sebuleni . Mkewe
alipata wasiwasi na kufikiria alimkera
mumewe alipomwambia kama kichwa chake
kilikuwa sawa , akawa anamuangalia.
Mzee huyo ambaye ‘mkuu wake wa kaya ’
alikuwa kachukia kweli alipoufikia mlango wa
kuingia vyumbani, aliufunga kwa funguo .
“ Umeamini nina akili timamu , sema lingine, ”
mzee Kibandiko alimwambia mkewe
aliyeishia kucheka.
“ Kwa kuwa walijua Beka asingeweza kuingia
sebuleni, mzee huyo ambaye alikuwa na
staili zake flani hivi kama kumi za yake
mambo yetu , akamnyonyoa manyoa yote
mkewe naye akayatoa yake .
Kwa kuwa alimpania sana wife wake ,
alimshika sehemu zote alizojua mkewe
akishikwa lazima aimbe nyimbo za kabila
lake , alipoona kaiva , akambetua na sijui
alimzungushaje pale kwenye kiti mama
akaanza kulia kwa raha! Mzee huyo ambaye
ana falsafa yake isemayo kwamba
‘unayoifanya nyumba ndogo muwapo faragha
yawe mara tatu kwa mkeo ’ alimpa mambo
mazito mkewe mpaka akawa hoi.
“ Baba Beka wewe ni noma , leo nitalala kama
mfu, ” mkewe alimwambia baada ya kupewa
bakora mbili za uhakika .
“ Hivyo ndivyo ninavyotakiwa kukufanyia mke
wangu, kama umeshiba nashukuru haya
twende tukalale , ” mzee huyo alimwambia
mkewe. Wanandoa hao walitoka pale
sebuleni wakiwa wamebeba nguo zao
mikononi, mzee huyo alifungua mlango
wakanyoosha kuelekea chumbani kwao .
“ Saa hizi humuogopi mwanao?” mzee
Kibandiko alimtania mkewe wakati wanaingia
chumbani kwao wakiwa watupu .
Mkewe alipoambiwa hivyo alicheka sana na
walipoingia chumbani mama huyo alifikia
kujibwaga kitandani maana alikuwa
kavurugwa haswa na mumewe ambaye
aliimudu vyema tasnia ya mapenzi.

Je, Beka atafanikiwa kumpata Rey?? Ungana nami toleo lijalo
 
SEHEMU YA 29
ILIPOISHIA

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mzee Kibandiko na mkewe walipoingia chumbani baada ya kupagawishana vya kutosha na mama huyo kufikia kujibwaga tii kitandani.
Je Kutokana na kuchoka walilala kama wafu, pamoja na usingizi waliokuwanao, ilipofika saa kumi na mbili alfajiri mama huyo alikuwa wa kwanza kuamka kwa ajili ya kumuandalia maji ya kuoga mumewe na chai.
Mzee huyo alipokunywa chai, alimpa mkewe shilingi 30,000 na kumwambia ampatie Beka aongezee kwa ajili ya kununua nguo.

“Hivi ndiyo hutaki kabisa kuniambia alichokufurahisha mwanao jana baba Beka?” mkewe alimwuliza.
“Wewe elewa mwanao ananipa raha sana, subiri nikirudi nitakwambia,” mzee Kibandiko alimwambia mkewe kisha alimuaga akaenda kazini.

Ilipofika saa mbili kamili Beka ambaye walikuwa likizo aliamka, alimuamkia mama yake akaenda kupiga mswaki na kuoga.
Akiwa bafuni alikumbuka alivyokuwa akikichezea kifua kibichi cha Rey pale uchochoroni na siku aliyomtoa wekundu wa msimbazi Rhoda, mkuu wake wa kaya akacharuka si kidogo.
Hata hivyo, hakuwa na ujanja zaidi ya kupanga kwenda nyumbani kwa akina Rhoda ili kufanya kila aliloweza kuhakikisha anampata mmoja wao.

“Leo lazima nimpate Rey au dada yake, siwezi kuumia namna hii!” Beka aliwaza.
Alipomaliza kuoga alikwenda sebuleni na kukuta mama yake kamuandalia chai, alipomaliza kunywa akajibwaga kwenye sofa na kuwasha runinga.
Wakati anaangalia runinga, alikuwa anapanga namna ya kuondoka nyumbani muda ule wa asubuhi ili kwenda kwa akina Rhoda.

“Sijui nimwambieje mama ili aniruhusu kutoka hapa nyumbani muda huu, najua ataniuliza nakwenda wapi!” Beka aliwaza.
Akiwa anawaza hivyo, mama yake aliyeingia chumbani kwake akatoka akiwa amebadili nguo na mkononi kabeba mkoba.

“Beka mwanangu, shangazi yako Mwajuma wa Maramba anaumwa sana tumepigiwa simu usiku, hivi naelekea huko,” mama huyo alimwambia mwanaye.
Beka alipoambiwa hivyo alisikitika na kumuuliza mama yake kama wangeweza kwenda wote.
Mama yake alimwambia kwa kuwa pale nyumbani hapakuwa na mtu abaki na nyumba kwani alitarajia kwenda kukaa huko siku moja au mbili kutegemeana na hali ya mgonjwa.
Beka alimpa pole mama yake na kumuuliza kama baba yake alitangulia Maramba, mama mtu alimfahamisha kwamba alikuwa kaenda kazini kwao kuomba ruhusa.

Baada ya kuzungumza mawili matatu kuhusu mgonjwa, mama huyo alimpatia Beka shilingi 30,000 na kumwambia alipewa na baba yake.
“Hizo pesa baba yako kaniambia nikupe anasema unamfarahisha sana siku hizi, sijui unamfurahisha kwa lipi?” mama huyo alimwuliza Beka.

Beka aliyepigwa na butwaa kwa kupewa fedha hizo alimwambia mama yake alihisi baba yake alifurahi kutokana na kufanya vizuri kimasomo.
“Nahisi itakuwa hivyo, soma mwanangu uje utusaidie baadaye, ” mama huyo alimwambia Beka.
Beka alimshukuru sana baba yake ndipo mama yake alimuaga, wakiwa wamesimama kibarazani, ilitokea baiskeli ya kukodi mama akaisimamisha na kumwambia kijana aliyekuwa akiiendesha ampeleke stendi, akapanda na safari ya stendi ikaanza.

Mama yake alipoondoka, Beka aliyekuwa na furaha kwa kupewa fedha na baba yake, aliingia ndani akazima runinga na kuwasha redio kwa sauti kubwa akaanza kucheza muziki.
Akiwa anapata burudani hiyo kwa mbali alisikia sauti ya mtu akibisha hodi, awali aliipuuzia lakini mtu aliyekuwa akibisha hodi akaendelea.

Kufuatia hodi hiyo, alipunguza sauti ya redio na kwenda kufungua mlango, hakuamini macho yake alipomuona Rhoda, moyo wake ukapiga pa kwa furaha.
Kutokana na furaha, alimkumbatia wakabusiana kisha wakashikana viunoni kama bwana na bibi harusi na kuelekea ndani.

Wawili hao walifikia kujibwaga kwenye sofa ambapo Beka alimwambia Rhoda kwamba hakuamini kama alikuwa yeye.Je, kilifuatia nini?” Usikose uhondo huu wiki ijayo.
 
Mkuu hii story inatembea mwendo wa kobe fanya utaratibu at least uwe unatupia vipande viwili angalau. ...
 
SEHEMU YA 30

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA
Mpenzi msomaji , wiki iliyopita niliishia pale
Beka na Rhoda waliposhikana viunoni kama
maharusi na kuingia sebuleni kisha
kujibwaga kwenye sofa tii . Je , kilifuatia
nini ? Songa mbele na chombezo hili
lisiloisha utamu …
Wawili hao walifikia kujibwaga kwenye sofa
tii ambapo Beka alimwambia Rhoda kwamba
hakuamini kama alikuwa yeye . “ Kwa nini
unasema huamini , yaani mwenzio usiku
sijalala kwa kukuwaza nikasema vyovyote
itakavyokuwa lazima asubuhi hii nije
nikuone, ” Rhoda alimwambia Beka .
“ Yaani mpenzi wangu hisia zetu zinafanana,
hivi nilikuwa najiandaa kuja kwenu , ” Beka
alimwambia Rhoda, wakacheka .
Kwa kuwa walikuwa peke yao, Beka
alikivamia kifua kibichi cha Rhoda na kuanza
kuzichezea embe bolibo zake na maeneo
mengine , mtoto akawa anayazungusha tu
macho yake mazuri .
Rhoda naye hakuwa nyuma , alianza
kumchezea Beka kila sehemu aliyoweza
kuifikia, kumpagawisha kabisa akavamia
makazi ya ‘ mkuu wake wa kaya ’ .
Wawili hao walipopagawishana vya kutosha
walikokotana na kuzana ‘rumu ’ , wakaendelea
na yao.
Wakati wakiwa wamezama dimbwini, mzee
Kibandiko alirejea na kuingia ndani kwani
Beka hakufunga mlango kuanzia wa uani ,
sebuleni hadi chumbani kwake .
Mzee huyo alipoona sendoz za kike na
kitambaa kikiwa juu ya sofa , akajua
mwanaye Beka alikuwa na ‘ mutu’ ndani,
akatabasamu na kujisemea moyoni :
“ Yes, hapo ndipo unaponipa raha jembe
langu. ”
Ili kujiridhirisha kama kweli alikuwa kidume
cha mbegu na aliweza kumliza ‘ mutu’ ,
akanyata na kwenda kujibanza kwenye
mlango wa chumba cha pili kutoka
alichokuwemo Rhoda na Beka wakifanyiana
mambo ya raha.
Mzee huyo asiye na maadili hata kidogo
ambaye naweza kusema alikuwa mshenzi wa
tabia , akiwa pale mlangoni akatega masikio
yake kusikiliza kila kilichojiri mle chumbani
kwa Beka .
“ Beka , sikutegemea kama unaweza kuwa
mtundu namna hii , yaani unajua kunishika
vizuri na unapozibugia chuchulee zangu
ndiyo napagawa kabisa , ” Rhoda alimwambia
Beka .
“ Nafurahi kusikia hivyo mpenzi wangu, ila na
wewe ni mtundu sana , unaponishika na
mikono yako laini , nadata kinoma, ” Beka
naye alimwambia Rhoda , wakacheka . Wakati
wawili hao wanapiga stori za malovee , mzee
Kibandiko aliyesahau kama alitakiwa kwenda
kijijini Maramba kumuona dada yake
aliyekuwa anaumwa , akawa anaachia
tabasamu.
Kule ndani Beka alipogundua Rhoda
aliyekuwa kamjeruhi siku mbili zilizopita
kaiva kama embe dodo lililosubiri kuliwa, si
akampembua viwalo vyote mtoto wa kike .
Baada ya kufanya hivyo , akapembua vyake
ndipo mzee mzima aliyeanza kuwa mzoefu
wa yale mambo yetu kwa mbali akamuweka
‘mutu ’ kati .
Kwa kuwa barabara ya kuelekea kwenye
mzinga uliojaa asali ilikuwa imesafishwa,
akaamua kusonga mbele ambapo alipata
kikwazo kidogo lakini hakurudi nyuma .
Kijana wa kiume ambaye damu ilimwenda
mbio, alisonga mbele bila kujali kilio cha
Rhoda aliyekuwa ameamua kumpa tunda
lake alile atakavyo .
Kufuatia kilio cha Rhoda , mzee Kibandiko
aliinua mikono juu na kushangilia kimyakimya
huku moyoni akisema; “ Safi sana dogo , sasa
unanipa raha… yaani umefikia hatua ya
kumliza ‘ mutu !’
Mzee huyo ambaye siku hiyo alikuwa na
furaha ya kupitiliza, alipohakikisha mwanaye
ni kidume cha mbegu na alifuata nyao zake ,
akatoka katika chumba alichojibanza
akatokea mlango wa jikoni na kwenda mtaa
wa pili .
“ Kati ya siku ambazo Beka kanipa raha, leo
ni ya kwanza , mtoto wa kiume anatakiwa
kuwashughulikia mabinti ipasavyo kwani
wapo duniani kwa ajili ya wanaume , ” mzee
huyo alijisemea moyoni bila kujua madhara
ambayo yangetokea baadaye .
“ Vipi mzee Kibandiko leo hujaenda kazini
maana ni nadra sana kuwa uswahilini muda
kama huu?” mzee Abdallah Kijiko aliyekuwa
anafanya kazi ya udobi alimwuliza mzee
Kibandiko.
“ Nina dharura kidogo , nimechomoka mara
moja nitarudi baadaye , ” mzee Kibandiko
aliyekuwa na furaha alimwambia mzee
Kijiko.
Baada ya wazee hao kuzungumza mawili
matatu, mzee Kijiko akamwambia mzee
Kibandiko kwamba alikumbuka jambo flani
linalomhusu Beka . “ Jambo gani mzee
mwenzangu?” mzee Kibandiko alimwuliza .
Mzee Kijiko alimweleza kwamba awe makini
na Beka kwa sababu alihisi alianza masuala
ya wasichana kwani alikwishamuona mara
kadhaa akiwa na binti wa mzee Phillip .
“ Sasa kuna ubaya gani kama anapiga naye
stori?” mzee Kibandiko alimwuliza .
“ Ingekuwa ni stori za kawaida wala
nisingekuambia lakini nilivyowaona kuna
zaidi ya kupiga stori,” mzee Kijiko
alimwambia. “ Nikuulize mzee mwenzangu ?”
mzee Kibandiko alimwambia mzee Kijiko .
“ Niulize , ” mzee Kijiko alijibu .
Baada ya kuambiwa hivyo , mzee Kibandiko
alimwuliza yule mzee mwenzake kwamba
enzi za ujana wake hakuwa na
wapenzi !“ Nilikuwa nao tena wengi na mmoja
wao ni mke wangu mama Hailati , ” mzee
Kijiko akamwambia . “ Basi kama ulikuwa nao
wengi , sioni tatizo Beka kuwa na marafiki wa
kike, huo ndiyo urijali wenyewe , ” mzee
Kibandiko alimwambia .
Alipoambiwa hivyo , mzee Kijiko alimwambia
akumbuke enzi zao magonjwa hayakuwa
mengi na hata ilipotokea kijana kampa
mimba binti sheria haikuwa kali kama siku
hizi .
“ Magonjwa ndiyo nini bwana! Muache Beka
awalambe viumbe afurahie ujana wake ,
akiwapa mimba sitashindwa kuwalea
wajukuu zangu , kuhusu sheria sioni tatizo
kwa sababu zinatungwa na watu na
kuvunjwa na watu haohao , ” Kibandiko alitamba

ITAENDELEA
 
Huyo ndio mzee kibandiko katika ubora wake! mbele nahisi kijasho kitamtoka!
 
SEHEMU YA 31

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia
pale mzee Kibandiko alipomzodoa mzee
Kijiko kwamba hakuona tatizo Beka kuwa
na mademu, hata ikitokea kawapa mimba
alikuwa tayari kuwalea wajukuu zake.
Je, kilifuatia nini? Songa mbele...
“Haya ndugu yangu, nikiwa kama mzazi
nilitaka kukuambia kuhusu suala hilo maana
ni jukumu letu kuwalea vijana wetu katika
maadili mema,” mzee Kijiko alimwambia
baba Beka.
Kwa kuwa maneno ya yule mzee
yalimchefua mzee Kibandiko aliyeona kama
alikuwa akimuona wivu Beka aliyeanza
kuwakwangua viumbe, akaagiza soda ya
baridi sana akaanza kunywa.Akiwa amekaa
kwenye benchi pale dukani akinywa soda
huku mzee Kijiko akiendelea kupiga pasi
nguo za wateja, kama mita 40 hivi alimuona
Beka akiwa kaongozana na msichana.
Kwa kuwa mzee huyo hakutulia na alikuwa
anapenda sana mwanaye awe bize na
mambo ya mademu, alitabasamu kisha
alijisemea moyoni:“Yap! Leo nitamuona
mkwe wangu, yaani Beka kadiri siku
zinavyokwenda mbele unanipa raha kupita
kiasi.”
Kama ilivyokuwa kwa mzee Kibandiko,
mzee Kijiko naye alimuona Beka akija na
msichana ndipo alimwambia mzee
Kibandiko:
“Unamuona mwanao anakuja na kibinti,
jambo la muhimu mzee mwenzangu ni
kumkanya kwani usipoziba hufa utajenga
ukuta.”
Kauli ya mzee Kijiko ilimkera sana mzee
Kibandiko ambaye alimjia juu kwamba
aache kumfuatamfuata mwanaye
vinginevyo angemuona mbaya.“Mtoto
anakula ujana wewe unasema sijui
nisipoziba hufa nitajenga ukuta! Acha
kuniletea nahau zako zilizopitwa na wakati,”
mzee Kibandiko alimwambia mzee Kijiko.
Kwa hasira alimalizia soda yake na kuinuka,
wakati huo Beka na Rhoda ambao
hawakumuona mzee huyo walikaribia kufika
pale dukani.Hata hivyo, Beka kama machale
yalimcheza alikata njia ya kichochoro na
Rhoda wake, huku nyuma mzee Kibandiko
aliyepania kumfahamu msichana aliyekuwa
na kijana wake akaondoka pale dukani bila
hata kumuaga mzee Kijiko aliyemtibua.
“Sijapata kuona mzee aliyekosa hekima
kama mzee Kibandiko, mimi namwambia
jambo zuri kuhusu mwanaye ananijia juu,
lakini ipo siku ataukumbuka ushauri wangu,”
mzee Kijiko alijisemea moyoni.
Mzee Kibandiko aliyekuwa anazielewa vizuri
njia za vichochoro, alikatiza kichochoro
kimoja ambacho aliamini lazima mbele
wangekutana na Beka na Rhoda.
Hata hivyo, alishangaa kutomuona Beka
wala Rhoda, akaishia kutabasamu kwani
hakuelewa walikuwa wamepita wapi.Mzee
huyo ambaye akili zake zilimtosha
mwenyewe aliamua kurudi nyumbani kupitia
mtaa wa pili, lakini kabla hajafika alikutana
na mama Havijawa aliyependa kutaniana
naye.
“Wewe mzee kijana mbona upo mitaani
muda huu, hujaenda kumtafutia mkeo
ugali?” mama Havijawa ambaye siyo
masihara aliumbika haswa, alimwuliza mzee
Kibandiko.
“Yaani nimeenda kazini nikajikuta nakuwaza
wewe nikaamua kutoroka japo nije nikuone,
hivi ndiyo nilikuwa nakuja kwako,” mzee
huyo aliyekuwa akimtamani sana mama
huyo, alimwambia.
“Kweli baba Beka hujatulia kabisa, hivi
unanifanya mimi mtoto mdogo, wewe uache
kazi na kuja kwangu inahusu?” mama huyo
alimwambia.
“Huo ndiyo ukweli, sema binadamu
tumenyimwa karama ya kujua watu wengine
wanawaza nini, lakini tungekuwa nayo
ungejua jinsi nilivyokupa nafasi katika moyo
wangu,” mzee Kibandiko alimwaga sera.
Kama unavyojua tabia ya baadhi ya akina
mama wa Tanga, maneno ya mzee
Kibandiko yalimwingia barabara mama
Havijawa, akamuuliza mzee Kibandiko
alihitaji nini kwake.
“Jamani wewe mwanamke, utafikiri ni
kibinti cha miaka 10! Kwa kuwa unataka
nikwambie bila kupindapinda ngoja
nikuambie, naitaka embe yako tamu,” mzee
Kibandiko alimwambia.
Mama huyo aliishia kucheka na kuzifanya
dimponsi zake zionekane vizuri na
kumwuliza mtani wake mzee Kibandiko hiyo
embe ataenda kuilia wapi?
Kwa kuwa muda huo alikuwa na fedha za
kutosha mfukoni, walikubaliana waende
kwenye gesti moja iliyokuwa eneo la
Ngamiani.Mama huyo ambaye tangu enzi
za usichana wake hakuwahi kuolewa,
alimwambia mzee Kibandiko atangulie na
kumsisitiza ajiandae kula embe kwa raha
zake.
“Kwa taarifa yako siyo raha zangu na zako
pia, mimi naenda kukusubiri mtoto
mashallah,” mzee huyo mpenda mademu
alimwambia mama Havijawa, wakacheka.
****
Beka aliyekuwa na furaha alimsindikiza
Rhoda hadi kwao na kumkuta Rey kabaki
peke yake baada ya wazazi wao kwenda
kazini.Rey alipomuona Beka, mwili
ulimsisimka baada ya kukumbuka mambo
waliyofanyiana siku ile usiku.
, akajisemea moyoni:
“Leo dada Rhoda akiniambia nimsindikize
tena, lazima Beka anishike embe zangu
kama juzi.”
Baada ya salamu, Beka alimuaga Rhoda na
kumwambia kama nyumbani angekuwepo
mama yake asingeondoka haraka lakini kwa
kuwa hakuwepo aliomba amruhusu.
Rhoda ambaye tayari alipewa haki yake
hakuwa na kipingamizi, alikubali na
kumwambia alisahau kuchukua kitabu cha
sayansi hivyo aongozane na Rey
akampatie.Rhoda aliposema hivyo, Rey
kidogo aliruke juu kwa furaha lakini
akajizuia ndipo Beka aliongozana na
msichana huyo aliyekuwa na uzuri wa
kipekee na kifua chake kikiwa kimebeba
vichuchulee vya kuchoma.
Siku hiyo Beka alikuwa na furaha
iliyopitiliza kwani alijua akifika nyumbani,
asingemuacha Rey hata kama kuna mtu
angemuahidi kumpatia kiasi gani cha fedha.
“Ukisikia zali la mentali limemdondokea mtu
ndiyo hili, leo simuachi mtoto wa mtu,
Rhoda kala bakora zake mbili za fasta na
Rey atakula zake,” Beka alijisemea moyoni.
Wakati Beka na Rey wanaelekea kwa akina
Beka, walipita njia ya kutokea penye duka
ambapo pembeni mzee Kijiko alikuwa
akifanya kazi yake ya udobi.Beka na Rey
walimuamkia mzee huyo wakaendelea na
safari, mzee Kijiko aliishia kusikitika
kufuatia tabia ya kujihusisha na vibinti
aliyoianzisha Beka.
“Huyu mtoto anakokwenda ni zaidi ya
majanga, mara ya kwanza alikuwa na
msichana mwingine na saa hizi ana
mwingine?” mzee huyo alisikitika.Beka na
Rey walipofika nyumbani, walifikia kukaa
kwenye sofa ambapo kijana huyo ambaye
kupevuka kwake kulimsumbua si kidogo,
akakivamia kifua cha Rey.
Alizishika embe bolibo zake, akazipekecha
kama walivyokuwa wakifanya wazee wa
kale walipokuwa wakipekecha vijiti
walipotaka kuwasha moto.Beka ambaye
‘atomatikali’ alijikuta akiwa mahiri wa
malovee, hakuishia hapo alizibugia embe
hizo, akazivyonza na kuzing’ata kimalovee,
Rey akawa anapiga kelele za utamu kolea.
Kwa kuwa naye alikwishagundua maeneo
ambayo akishikwa alipagawa, akamuelekeza
Rey, mtoto wa kike ambaye alikuwa mtamu
kama Mcharo akayavamia maeneo hayo,
hali ikawa tete kwa wote.
Je, kilifuatia nini? Usikose wiki ijayo.
Kukudokeza ni kwamba siku hiyo Rey naye
alilambwa bakora mbili za uhakika, chezea
Beka wewe!
 
Back
Top Bottom