Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale
Beka ambaye ameanza kuwashughulikia
viumbe alipokivamia kifua cha Rey na
kukiletea fujo za kutosha kwa kuzipekecha
embe bolibo zake , sijui kazing ataje hadi
mtoto wa watu akawa hoi. Je, kilifuatia nini?
Songa mbele na chombezo hili lisiloisha
utamu.
Baada ya kuona Rey kaishiwa nguvu na
kabaki kamtumbulia macho , Beka aliyekuwa
kalishika jambia lake kali aliliweka ndani ya
ala ya Rey aliyewahi kulicheza segere la
wakubwa mara mbili tangu akue, mtoto wa
kike akatoa ushikiriano mzuri .
Kutokana na ushirikiano wa uhakika aliotoa
Rey wa kwenda kulia Beka alipokwenda
upande huo na kwenda kushoto Beka
alipomtaka kufanya hivyo na kubinjukia juu
Beka alipomuinulia pande hizo ,wote wawili
walivunja madafu kwa pamoja .
Jambo ambalo ni nadra sana kutokea kwa
wanaume wengi , licha ya Beka kuvunja dafu
na kumnywesha Rey aliyelipokea kwa
mhemko wa hali ya juu, bado damu
ilimwenda kasi , si akaendelea kucheza
pekechapekecha.
Kutokana na jinsi Rey alivyokuwa
akihamasisha kufuatia kila kiungo chake
kuwa softi kama siyo laini , kijana huyo
ambaye kuanzia leo namwita kijana wa kazi,
akapasua tena dafu la pili ambalo lilikuwa
tamu sana na kumnywesha mtoto wa watu ,
Rey akawa hoi.
Wakati Beka akifanya yake , mzee Kibandiko
naye kule chimbo alikuwa akimpelekesha
puta mama Havijawa aliyetoa ushikirikiano
kwa kuzungusha nyonga kama Wamachinga
wanapocheza ngoma yao ya Sindimba.
Mzee Kibandiko ambaye hakuna kitu
asichokipenda kwenye ulimwengu wa
malovee kama kumuacha mwenzake
akihangaika juu ya mnazi.
Alipoona anakaribia kupasua dafu alimsubiri
mama huyo, mama Havijawa aliposogea
karibu kabisa akalipasua dafu kwa ufundi na
kunyweshana maji yake kwa pamoja .
Sikutegemea kabisa kama unayaweza
mambo! mama Havijawa alimwambia mzee
Kibandiko akiwa kajilaza hoi .
Kwa nini unasema hivyo ? mzee Kibandiko
aliyekuwa anajua kilichomfanya mama huyo
kutoa kauli hiyo alimuuliza.
Wewe ni noma tena balaa wa malavidave ,
yangekuwa yanafundishwa ningesema una
Phd, mama Havijawa alifunguka ,
wakacheka .
Mama huyo alimwambia mzee Kibandiko
kwamba alimkumbusha enzi za usichana
wake wakati akitoka na kijana aliyemuingiza
kwenye ulimwengu wa mapenzi .
Alikuwa anakufanyia nini? mzee Kibandiko
alimwuliza .
Si kama ulivyonifanyia wewe ! mama huyo
alimwambia.
Mimi nimekufanyia nini? mzee Kibandiko
alimwuliza .
Umeniandaa vizuri sana halafu hujaniacha
hewani, yaani kuanzia leo nitakula sahani
moja na mkeo na ikibidi kuwa nyumba ndogo
yako ya kudumu na iwe hivyo , mama
Havijawa alimwambia mzee Kibandiko
aliyeishia kucheka.
Hata wewe umenikumbusha enzi za ujana
wangu ulivyokuwa unanifanyia, hakika
wanawake wa Tanga mmejaaliwa kuijua
sanaa ya mapenzi , mzee Kibandiko
alimwambia mama huyo.
Wawili hao walisifiana na kutaniana na
mwisho walikubaliana kukutana tena
Jumamosi iliyofuata ili wapeane mahabati ya
kutosha .
Kwa kuwa siku hiyo mzee Kibandiko alikuwa
na fedha za kutosha alimpatia mama huyo
shilingi 20, 000 kisha wakaoga pamoja ,
wakapigana mabusu ndipo mzee huyo
akatangulia kutoka na kushika njia kwenda
kwake.
Mama Havijawa ambaye hakutegemea
kupata mshiko ule na jinsi mzee Kibandiko
alivyoijua sanaa ya mapenzi , akaishia
kutabasamu na kuahidi kutomuacha .
Mama huyo alitoka pale gesti akiwa na aibu
flani hivi , si unajua tena alitoka kuchepuka
na mume wa mtu na isitoshe bado ilikuwa ni
mapema!
Kule nyumbani kwa mzee Kibandiko, tayari
Beka alishamsindikiza Rey akawa amelala
chumbani kwake kwa uchovu wa kazi nzito
aliyoifanya, kwani ndani ya muda mfupi
alikuwa ameshawacharaza mtu na mdogo
wake bakora nne.
Hivi sasa nimefungulia mbwa, msichana
yeyote atakayejipendekeza simuachi ng o!
Beka aliwaza .
Kijana huyo hakuishia hapo , alipanga kwenda
kuwatambia rafiki zake ambao walikuwa
wakimcheka na kumwambia alikuwa mtoto
wa mama kwa vile alikuwa akipenda kukaa
nyumbani .
Wakati Beka akiwaza hivyo , nyumbani kwa
akina Rhoda hakukuwa shwari kwani
msichana huyo alimbana Rey amweleze
kilichomfanya achelewe .
Dada Rhoda jamani , nilipotoka kwa Beka
nilipitia kwa akina Raheli nimepiga naye stori
kidogo nikaondoka , Rey ambaye kwa mtu
makini angemtambua kwamba alitoka kula
tenda muda mfupi uliopita alimwambia dada
yake .
Hata hivyo , utetezi wake haukusaidia kwani
Rhoda alihisi kuna kitu cha ziada walikifanya
na Beka , akaamua kumfuata Raheli kupata
ukweli.
Wakati Rhoda akielekea huko, huku nyuma
Rey alikosa raha sana kwani alijua uongo
wake ungebainika na ambacho kingefuatia ni
mtifuano tu !
Hata akijua nimetoka na Beka poa tu , kwani
nami nampenda sana, Rey alijisemea
moyoni.
Rhoda hakutumia muda mrefu alirejea na
kumwambia Rey kwamba alikuwa na bahati
sana kwani Raheli alimhakikishia kwamba
alipitia kwao .
Una bahati sana Raheli kaniambia ulipitia
kwao , leo hapa nyumbani ungepaona
pachungu, Rhoda alimwambia Rey .
Tatizo dada Rhoda huwa hupendi kuniamini,
sasa wewe ulifikiria naweza kukusaliti kwa
mpenzi wako ? Rey alimuuliza dada yake
huku akimshukuru sana Raheli kumwambia
alipitia kwao .
Beka akiwa amelala hajiwezi kwa uchovu
alimsikia baba yake aliyekuwa karejea
akimwita, alipoitika mzazi wake huyo
akamuuliza alikuwa akifanya nini,
akamwambia alilala .
Alipopewa jibu hilo alihisi Beka ambaye
alikuwa kaanza utundu wa mademu alikuwa
na msichana ndani, si akazama chumbani
kwake.
Mzee huyo ambaye kichwani alikuwa ziro
kama siyo sifuri , alipoingia chumbani na
kuona kitanda kipo vuluvulu aliishia
kutabasamu.
Baba mbona unatabasamu , nini
kimekufurahisha? Beka aliyejishtukia
alimuuliza mzazi wake .
Yaani nimefurahi kwa jinsi
unavyonifurahisha siku hizi halafu watu
wengine wanakusema vibaya , kweli kuishi
uswahilini ni tabu tupu! mzee huyo
alimwambia Beka .
Akina nani wanaonisema vibaya ? Beka
akamwuliza .
Wapo watu wanasema eti kwa vile unafanya
vizuri shuleni unaringa sana, mzee huyo
alimdanganya mwanaye .
Baba achana na watu hao kwani duniani
kila kitu kibaya kwa watu , kwa mfano
ningekuwa mwizi au mtu wa kufuatilia
mambo ya wasichana pia wangesema , Beka
alimwambia baba yake .
Baada ya kutoa kauli hiyo , mzee Kibandiko
alicheka, akamwambia naye alikuwa
amechoka ngoja akapumzike chumbani
kwake.
Baba huendi Maramba kumjulia hali
shangazi anayeumwa ? Beka aliyekuwa
anahitaji sana uhuru wa kubaki peke yake
pale nyumbani ili azidi kuwaumiza watoto wa
watu alimwuliza baba yake .
Nitaenda ila ngoja kwanza nipumzike kwani
nahisi uchovu sana , mzee huyo aliyetoka
kumbingirisha mtu alimwambia mwanaye .
Baada ya kuambiwa hivyo , Beka akawa
mpole ndipo baba yake akaenda chumbani
kwake.
Najua akiondoka kurudi hapa itakuwa
keshokutwa, lazima nimwambie Rhoda aje,
tena siku atakayokuja nitamwambia apike na
kufanya usafi wa chumba changu , Beka
aliyeanza kuwa mhuni aliwaza .
Je, kilifuatia nini? Usikose uhondo huu wiki
ijayo .