Chombezo: Chachandu za Beka wa Tanga

Chombezo: Chachandu za Beka wa Tanga

Hadithi tamu sana,aiserrreeeee maloveer yanafurahisha kotekote,c mzuka c kcheko yote yamo
 
Hivi story ya Beka ndiyo imeisha kienyeji hivi
 
story nzuri ila inachosha.... inaelekea unajifunza!! watu wawil wakiwa wanaongea weka conversation, sio kila akiongea beka unasema beka aliongea mara baba beka alimjib wakati tunajua watu wako wawil, weka majina panapotakiwa, sio kila sentensi.... ni ushari tu.
Ninzuri sana tatizo nimeshaona haifiki mwicho mbona njiapanda watuacha
 
nilichanganya sehemu ya 10 kwa 11 nimeshaweka sawa.. part iliyomis ni kwamba baada ya kumchapa beka akamwacha aende kusafisha banda la mbwa na yeye akarudi kwa mkewe kutokana na uzuri wa mkewe hasira zote zikapoa wakajikuta wanafanya majamboz...
mbona ulikuwa hujapajazia
 
Back
Top Bottom