CHINA: Marekani iwajibike kwa kueneza UKIMWI Duniani na seasonal flue mwaka 2009 maana chimbuko la H1N1 na UKIMWI ni Marekani

Us wanajifanya wanafund lakini unajua kwa faida gani?... Ili iwe rahisi kukuwekea vikwazo ukishindwa kuendana na Sera zao.

Lakini wangeamua kutengeneza chanjo miaka ishapita 40 now, wangekuwa washapata kama kweli walikuwa na nia ya kutusaidia.

Dozi ya A.R.V ni gharama sana kiasi kwamba wakisema waache kudhamini ni wengi watakufa... Ndo maana nasema kirusi walitengeneza wao kwa faida yao!

Sent using Jamii Forums mobile app

I'll take that as a conspiracy theory.
 
Sasa sisi itabidi tutume misukule huko duniani maana huu utaalamu tunao ili tuwe kwa top 3 disastrous states...... Hakuna waganga au wanga humu?? Huu ndo wakati wa Mwafrika kufanya tukio, tumeni hata fisi white house basi au ungo hzufik? Aah nimekumbuka ni miaka 1000 sasa tangia mzungu apore iyo technologia nakuiendeleza lol.
Je, Marekani imelipa hasara kutokana na majanga ya H1N1, UKIMWI na msukosuko wa fedha duniani?

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, Marekani inapaswa kufahamu kuwa adui wao ni virusi, sio China, kwani kama nchi nyingine, China pia ni mwathirika wa maambukizi ya virusi vya Corona.

Geng amesema hayo baada ya Rais Donald Trump wa Marekani jana kusema China inapaswa kuwajibika kwa ueneaji wa virusi hivyo.

Geng amesema virusi ni adui wa binadamu wote, na vinaweza kutokea wakati wowote na mahali popote, na China ni mwaathirika wa virusi hivyo. Ameongeza kuwa, hakuna aliyeiwajibisha Marekani kwa majanga yaliyoanzia nchini humo kama mafua ya H1N1 yaliyotokea nchini Marekani mwaka 2009 na kuenea katika nchi 214 duniani, na kusababisha vifo vya watu laki mbili, na pia mgogoro wa kifedha uliotokea mwaka 2008 nchini Marekani na kusababisha hasara kubwa ya kiuchumi duniani, aidha ugonjwa wa UKIMWI pia ulitokea kwanza nchini Marekani.

Geng amesisitiza tena kuwa, kwa mshikamano na ushirikiano tu, ndio jumuiya ya kimataifa itashinda virusi vya Corona, ameitaka Marekani kuacha kuipaka matope China, na kujishughulisha vizuri zaidi na juhudi za kukabiliana na virusi hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndo maana mwanzoni nilianza kwa Kusema "Atleast" Marekani inafanya Kitu Kufidia kosa Lao. Atleast. Unaona kabisa they are doing something kama kutoa pole for what they did.

Na ni msaada ndio, kwani mkuu US ingeamua kuignore kutotoa Hizo Arv Bure na elimu juu ya ukimwi waafrika wangefanya Nini? Tungejipanga tungeenda Kuwapiga? Tungeishia kulalamika tu. Kumbuka hizo ela ni kodi za wa wamarekani. Ni wameamua tu.
Mkuu ARV's hazitolewi bure, fanya research kabla kusema kitu. Waweza hata ku google ni biashara kubwa ndo maana ukitangaza una dawa ya ukimwi hata wiki humalizi unauawa ili waendelee kuuza ARV's. Ile ni biashara kubwa sana. Unawatetea USA sababu hujawajua vizuri. Hakuna tofauti China na USA ni walewale tu.
 
Germany’s largest paper to China's president: You're endangering the world
By BENJAMIN WEINTHAL APRIL 20,
2020 13:21
A poster with a portrait of Chinese President Xi Jinping is displayed along a street in Shanghai, China, October 24, 2017
(photo credit: ALY SONG/REUTERS)

"You [Jinping], your government and your scientists had to know long ago that coronavirus is highly infectious, but you left the world in the dark about it."
BERLIN – The editor-in-chief of Germany’s largest paper Bild on Thursday launched a full frontal attack on China’s communist President Xi Jinping for his regime’s failure to come clean about the
coronavirus outbreak and the massive human rights violations carried out by the Communist Party.
Julian Reichelt, the prominent editor-in-chief of the Bild, wrote to Jinping that “Your embassy in Berlin has addressed me in an open letter because we asked in our newspaper
Bild whether China should pay for the massive economic damage the coronavirus is inflicting worldwide.”
He wrote that, "You [Jinping], your government and your scientists had to know long ago that coronavirus is highly infectious, but you left the world in the dark about it. Your top experts didn't respond when Western researchers asked to know what was going on in Wuhan. You were too proud and too nationalistic to tell the truth, which you felt was a national disgrace.”
Reichelt said that, “You rule by surveillance. You wouldn't be president without surveillance. You monitor everything, every citizen, but you refuse to monitor the diseased wet markets in your country. You shut down every newspaper and website that is critical of your rule, but not the stalls where bat soup is sold. You are not only monitoring your people, you are endangering them – and with them, the rest of the world.”
He continued with his bill of particulars, noting that “surveillance is a denial of freedom. And a nation that is not free, is not creative. A nation that is not innovative, does not invent anything. This is why you have made your country the world champion in intellectual property theft.
“China enriches itself with the inventions of others, instead of inventing on its own,” Reichelt wrote. “The reason China does not innovate and invent is that you don't let the young people in your country think freely. China’s greatest export hit (that nobody wanted to have, but which has nevertheless gone around the world) is coronavirus.”
The spokeswoman for China’s embassy, Tao Lil, published an open letter to Bild in German on the embassy's website on Wednesday, stating that, “I followed your reporting on the corona pandemic in general and China's alleged guilt in particular today. Apart from the fact that we consider it a pretty bad style to blame a country for a pandemic that is affecting the whole world and then to present an explicit account of alleged Chinese debts to Germany, the article ignores some essential facts.”
She added that "We note that many countries now struggling with COVID-19 have had time to prepare for the cross-border spread of the pathogen after China reported its outbreak under IHR [World Health Organization] guidelines."
The best-selling paper Bild
calculated prior to Reichelt's editorial that China owed Germany €149 billion for coronavirus damages, triggering the angry response from the Chinese embassy in Berlin.
Bild said the compensation amounts to €1,784 per person if Germany's GDP drops by 4.2 percent. The Bild
article was titled: "What China owes us."
China's embassy spokeswoman said the article "stirs up xenophobia and nationalism."
The Bild editor-in-chief cited a Washington Post article reporting that, “your laboratories in Wuhan have been researching coronaviruses in bats, but without maintaining the highest safety standards. Why are your toxic laboratories not as secure as your prisons for political prisoners? Would you like to explain this to the grieving widows, daughters, sons, husbands, parents of corona victims all over the world?”
He concluded that, “In your country, your people are whispering about you. Your power is crumbling. You have created an inscrutable, non-transparent China. Before Corona, China was known as a surveillance state. Now, China is known as a surveillance state that infected the world with a deadly disease.That is your political legacy.”
 
Tatizo China kaingia G5 na sim yake ya Huawei kabla ya mzungu,
Tecnorojia ya G5 ndio imeleta corona na test yake imefanyika jimbo la wuhan
Wachina wajua walicho kifanya
Na hii G5 watu watadondoka duniani kama kuku wenye kideli.. Mchina kaharakisha mambo kabla wazungu awajajipanga kuhusu tiba ya corona virus
Wazungu wanajua kila kitu kuhusu G5

Hebu tufafanulie kwa kina uhusiano wa hiyo g5 technology na hivi virusi tafadhali!
 
Mkuu Hivi hizi program za UKIMWI anazozifund US Hao wachina hawazioni? Naskia Arvs Ni Bure. Nani anafund? Ni US. Atleast they are trying to correct their mistake not to run away from it.

China has to pay and she has to pay dearly. Kwa kupika takwimu na kuchelewa kutoa tahadhari kwa nchi nyingine kuhusu Corona. Yaani walipe for every life that has been lost na wakikataa hakuna kuwalipa loans zao walizokopesha Mataifa mengine na ikibidi they should be isolated by the international community.

Those communists will try to do a cover up lakini naamini joint investigation itawaumbua.Yaaani wafanyiwe kama alichofanyiwa Germany baada ya Kulost World War 1. Racists China.

Yes Keyboard Warrior.
US anasaidia kutoa dawa za ARVs Je unajua vigezo na masharti ya kusaidiwa hizo dawa? Nchi za maskini zinaingia mikatataba ya kunyonyaji mali zao kwa ajili ya kupata hizo dawa. DUNIA YA LEO HAKUNA MSAADA BILA YA MALIPO, wala hakuna urafiki kati ya matajiri na maskini.

Hata kinga au dawa za CORONA zitapatikana lakini vigezo na masharti kuzingatiwa yaani hapo ndiyo kunapo dumishwa na kutukuzwa UKOLONI MAMBOLEO.
 
Soma kijana usisubiri kuambiwa kila kitu... Unajua alietengeneza PEP na ARV alikuwa umbali gani kupata dawa ya H.I.V?... Yani alikuwa very close.

Kama unaona chanjo tu ya corona ilibidi wakae kikao ndo waamue ikipatikana dunia nzima itatakiwa tuipate kwa usawa, then wtf was that wote tumeathirika kwanini mpaka wakubaliane kwanza?

Tukiongelea swala la Ukimwi hapa ni nani muhanga mkubwa katika dunia.. Kama sio Afrika?

Unajua population ya Afrika duniani bado ni ndogo mno lakini wanatushurutisha uzazi wa mpango...
Kwanini hawataki tuongezeke?... Usiniambie hapa kwasababu sisi ni masikini hapana.

I'll take that as a conspiracy theory.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma kijana usisubiri kuambiwa kila kitu... Unajua alietengeneza PEP na ARV alikuwa umbali gani kupata dawa ya H.I.V?... Yani alikuwa very close.

Kama unaona chanjo tu ya corona ilibidi wakae kikao ndo waamue ikipatikana dunia nzima itatakiwa tuipate kwa usawa, then wtf was that wote tumeathirika kwanini mpaka wakubaliane kwanza?

Tukiongelea swala la Ukimwi hapa ni nani muhanga mkubwa katika dunia.. Kama sio Afrika?

Unajua population ya Afrika duniani bado ni ndogo mno lakini wanatushurutisha uzazi wa mpango...
Kwanini hawataki tuongezeke?... Usiniambie hapa kwasababu sisi ni masikini hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwanasayansi kwamba unajua kwa uhakika walikuwa very close kupata dawa ya HIV? Haya, tuambie basi how close they were na ilibakia wafanye nini ili hiyo dawa ipatikane. Hayo maswali uliyouliza, tupe majibu sisi tusiojua.

Hakuna anayekushurutisha uzazi wa mpango. Unaweza kuzaa na shemeji yetu watoto wote utakao mpaka mayai yaishe.
 
US anasaidia kutoa dawa za ARVs Je unajua vigezo na masharti ya kusaidiwa hizo dawa? Nchi za maskini zinaingia mikatataba ya kunyonyaji mali zao kwa ajili ya kupata hizo dawa. DUNIA YA LEO HAKUNA MSAADA BILA YA MALIPO, wala hakuna urafiki kati ya matajiri na maskini.

Hata kinga au dawa za CORONA zitapatikana lakini vigezo na masharti kuzingatiwa yaani hapo ndiyo kunapo dumishwa na kutukuzwa UKOLONI MAMBOLEO.
Leta mfano wa huo mkataba wa kinyonyaji. Na kama kweli kuna mkataba kama huo, tujilaumu sisi wenyewe kuingia mkataba kama huo kwani hatukulazimishwa ila 10% ndio ilipofua macho yetu.

Kwenye mkataba wa Tanzania na China wa kujenga bandari ya bagamoyo, utawalaumu wachina kwa mkataba huo au viongozi wetu? No wonder JPM kaufyekelea mbali. Kasema ni mlevi tu ndio anaweza kusaini mkataba huo.

Sijui kama unakumbuka mkataba wa madini ulioenda kusainiwa London, na waziri wetu akabadilisha kipengere cha mkataba kwa mkono ili kipendelee kampuni ya madini?
 
Soma kijana usisubiri kuambiwa kila kitu... Unajua alietengeneza PEP na ARV alikuwa umbali gani kupata dawa ya H.I.V?... Yani alikuwa very close.

Kama unaona chanjo tu ya corona ilibidi wakae kikao ndo waamue ikipatikana dunia nzima itatakiwa tuipate kwa usawa, then wtf was that wote tumeathirika kwanini mpaka wakubaliane kwanza?

Tukiongelea swala la Ukimwi hapa ni nani muhanga mkubwa katika dunia.. Kama sio Afrika?

Unajua population ya Afrika duniani bado ni ndogo mno lakini wanatushurutisha uzazi wa mpango...
Kwanini hawataki tuongezeke?... Usiniambie hapa kwasababu sisi ni masikini hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngoja ni kujibu kwa Urefu. Usome na uelewe.

Unajua population ya South Korea? Ni Kama ya kwetu tu hapa Tanzania and Guess what ni nchi ya 12 Duniani kwa uchumi mkubwa. Tena wao ni kama sisi tu wamepata Uhuru soon after World War 2. Population Yao siyo kubwa. Na Family Planning kwao imeanza kitambo Sana.

Kwamba wazungu hawataki Tuongezeke ili tusiendelee? Mbona Nigeria wako wengi? Wameendelea? Nigeria ni nchi ya ngapi kwa Uchumi Duniani? Wananchi wake wanaishije?
India Je? Mbona wako wengi? Na bado ni ombaomba.

Ningepinga Uzazi wa Mpango kama Wazungu wenyewe wangekuwa Hawatumii. Ila wenyewe wazungu wanatumia as a matter of fact British Princess Princess Diana mwenyewe it's said alikuwa anatumia soon baada ya kuachana na Charles. Kila kitu kina side effects zake.

Mkuu haujawahi kusikia hapa Afrika baba kakimbia Familia kutokana na majukumu? Sasa anapotokea mtu anakwambia usizae watoto wengi ili ujisustain vizuri anakuwa kakosea? Unamsikiliza Jiwe kwamba Atakusomeshea Watoto?
Haujawahi kwenda Shule za Serikali ukakuta watoto wanakaa chini? We unaona ni sawa mkuu. Kungonoka wangonoke wazazi alafu watoto ndo wakae kwenye vumbi. Family Planning.

Mkuu tumia akili kidogo siyo kila kitu mzungu anachokianzisha ni kibaya. Usikariri. Sijajua ni vitabu gani mnasoma kwakweli. Vingine ni ubinadamu tu na kujitoa tu. Ndo maana unaitwa msaada. Unaeza kukubali au kukataa. Kwani lazima usaidiwe?

We zaa watoto weeeee wakikuzidia uwezo ndo utaelewa wanamaanisha nini Hao "mabeberu".

Yaaani naamini wazungu wangewaambia mzaliane Sana na yenyewe hiyo mngeponda mngesema wanawalisha ujinga na wanataka wawamalize kabisa. Victimization Attitude.

Kuhusu Ukimwi je wewe ulikuwepo kwenye Jopo la Madaktari waliokuwa wanatengeneza hizo Arv's? Hadi ukajua they were so Close to the Cure?

Na Nani amekwambia Ukimwi Umeaffect Sana Afrika Kuliko Sehemu nyingine Duniani? Tafiti hizo Umezitoa Wapi?
 
Leta mfano wa huo mkataba wa kinyonyaji. Na kama kweli kuna mkataba kama huo, tujilaumu sisi wenyewe kuingia mkataba kama huo kwani hatukulazimishwa ila 10% ndio ilipofua macho yetu.

Kwenye mkataba wa Tanzania na China wa kujenga bandari ya bagamoyo, utawalaumu wachina kwa mkataba huo au viongozi wetu? No wonder JPM kaufyekelea mbali. Kasema ni mlevi tu ndio anaweza kusaini mkataba huo.

Sijui kama unakumbuka mkataba wa madini ulioenda kusainiwa London, na waziri wetu akabadilisha kipengere cha mkataba kwa mkono ili kipendelee kampuni ya madini?

Mkuu Hawa jamaa wananishangaza Sana. Iran kila siku Anakataa misaada kutoka marekani. Sisi tunashindwa Nini?

Wanasahau tunaishi kwenye Capitalism. Usawa hauwezi kuwepo. Wamarekani kwa Wamarekani wenyewe wanadhulumiana.

Ujinga ni Wa sisi wenyewe waafrika. Kukubali hizo contracts.
 
US anasaidia kutoa dawa za ARVs Je unajua vigezo na masharti ya kusaidiwa hizo dawa? Nchi za maskini zinaingia mikatataba ya kunyonyaji mali zao kwa ajili ya kupata hizo dawa. DUNIA YA LEO HAKUNA MSAADA BILA YA MALIPO, wala hakuna urafiki kati ya matajiri na maskini.

Hata kinga au dawa za CORONA zitapatikana lakini vigezo na masharti kuzingatiwa yaani hapo ndiyo kunapo dumishwa na kutukuzwa UKOLONI MAMBOLEO.

Mkuu Hebu nitajie hivo vigezo na masharti vilivyotolewa ili sisi kupata Hiyo misaada.

Alafu mkuu fuatilia Habari achana na stori za vijiweni. We hujasikia kuwa tiba ya Corona ikipatikana itagawiwa kwa nchi zote Duniani kwa usawa, kwa gharama nafuu.

Sasa kama wameweza kufanya hivo kwenye corona Kwanini washindwe kwenye ukimwi?
 
Back
Top Bottom