eeeuii eeeeuiii, sijawahi kuona serikali iliyoparangatuka namna hii Sitta,Mwakyembe kama muna makende kweli katikati ya miguu yenu ondokeni kwenye serikali hii haiwafai hamuwezi kugombezwa na waziri tena mdogo,umeona dharau zake anaposema Mwakyembe waziri mdogo maana yake nini akiwa waziri mdogo hastahili kuona uchungu kama Mtanzania,KIKWETE KIKWETE baraza lako limekushinda kabisa kila mtu anaropoka kivyake mbona chikawe hakumuonya Selina Kombani Warema walivyotoa maoni yao kuhusu Katiba walisema yalikuwa maoni yao binafsi kwa nini mawaziri hawa wakizungumzia ya dowans wonekana wanampuuza Raisi eeeeuiii nchi yangu Tanzania pole