Chemsha BONGO

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
13139314_1785741978322454_4093325224454198590_n.jpg
 
Inanikumbusha boarding school, mtoto wa sure amekuja shule, prefect akamkuta amedodge kipindi, akamwambia ninakupeleka kwa mwalimu wa zamu. Wamefika kwa mwalimu ilikuwa English Speaking Week, prefect ameanza sir this one no in class just walk walk, mtoto wa kisure 'first of all as a girl, I'm allowed to go and change my self as I'm on my periods' mwalimu amenogewa na language ya mtoto, prefect amekuja juu, 'are you jumping me infront of teacher?'
 
Labda tumuulize mwenyewe aliyeanzisha hii slogan, ila kwa lugha hii kama nina mashaka nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom