Watu wazima walitoka njeUjinga mtupu.
Mtu mzima kuleta mambo ya kitoto mbele ya watu wazima haipendezi.
Huyu kenge wamemuwacha anatoa speech kama mwehu wametoka wamemuwachia vichaa kama yeye ndio walikuwa wakimsikilizaWaziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo amewapa Chemsha-Bongo baraza la Umoja wa Mataifa!!!!
Ningewashangaa sana wangebaki ndani kumskiliza huyo muuaji.Watu wazima walitoka nje
Netanyahu leo amewapa Chemsha-Bongo baraza la Umoja wa Mataifa
Wafuga Midevu na Majini wote ilikuwa lazima tu watoke nje kumpisha Mwamba waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoe hotuba yake kwa utulivu!!!Watch moment diplomats walk out as Israeli PM Netanyahu speaks at UN
As the session's chairman called for order, there were boos and cheers while delegates streamed out, leaving masses of empty seats.
Friday 26 September 2025
![]()
Watch moment diplomats walk out as Israeli PM Netanyahu speaks at UN
As the session's chairman called for order, there were boos and cheers while delegates streamed out, leaving masses of empty seats.news.sky.com
Dozens of officials and diplomats staged a walk-out as he took to the podium, leaving large parts of the conference hall empty.
![]()
Netanyahu attacks Palestinian recognition as dozens walk out of UN speech
Officials and diplomats left the auditorium in protest as the Israeli leader took the stage, leaving large parts of the hall empty.www.bbc.com
Mtumishi kwani Yesu amekataza kufuga ndevuWafuga Midevu na Majini wote ilikuwa lazima tu watoke nje kumpisha Mwamba waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoe hotuba yake kwa utulivu!!!
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo amewapa Chemsha-Bongo baraza la Umoja wa Mataifa!!!!
Endeleeni tu kumsapoti huyu Gaidi, ila mkumbuke kuna kifo, pia kuna maisha mengine baada ya haya ya duniani, hivyo mtaingianae jahannam na kuwa kuni za moto.Huyu jamaa ni bonge la profesa. Sijui duniani kama itakuja kupata kiongozi strong, mwenye msimamo , na mwenye akili kama yeye
Acha ujinga unakumbuka Oct 07,2023 mlikuwa mnafurahia mauaji ya wayahudi Sasa hi I mambo yamebadirika Israel imepindua meza mtajuta kuzaliwa na safari hii mtapigwa mpaka mchakae Mbwa nyie!!!Endeleeni tu kumsapoti huyu Gaidi, ila mkumbuke kuna kifo, pia kuna maisha mengine baada ya haya ya duniani, hivyo mtaingianae jahannam na kuwa kuni za moto.