nakupa code

nakupa code

La gioconda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
736
Reaction score
1,358
asubuhi chemsha
tangawizi
binzari manjano
mdalasini
karafuu
rosemary
ikisha iva weka katika kikombe kamulia limao kiasi weka na chumvi kidonge kimoja ile ya baharini kunywa tumbo likiwa tupu usile chochote mpaka mchana
fanyahivyo kila siku
kaambali na vitu vyenye sukari kwa afya yako
utakuja kunishukuru
 
Vp inakupa guarantee ya kukwepa kifo?
 
asubuhi chemsha
tangawizi
binzari manjano
mdalasini
karafuu
rosemary
ikisha iva weka katika kikombe kamulia limao kiasi weka na chumvi kidonge kimoja ile ya baharini kunywa tumbo likiwa tupu usile chochote mpaka mchana
fanyahivyo kila siku
kaambali na vitu vyenye sukari kwa afya yako
utakuja kunishukuru
Jamani huu mchanganyiko haugeuki kuwa sumu mwilini?
 
asubuhi chemsha
tangawizi
binzari manjano
mdalasini
karafuu
rosemary
ikisha iva weka katika kikombe kamulia limao kiasi weka na chumvi kidonge kimoja ile ya baharini kunywa tumbo likiwa tupu usile chochote mpaka mchana
fanyahivyo kila siku
kaambali na vitu vyenye sukari kwa afya yako
utakuja kunishukuru
Huo mchanganyiko tayari unatengeneza sumu mwilini
 
Back
Top Bottom