Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,867
- 831,163
Nyingine hiyoha ha ha
hapana mkuu......
Nyingine hiyoha ha ha
hapana mkuu......
Hiyo kwa kiswahili ni "we fanya tu kazi hapa" hakuna jingine"Just work here" ndo in english..........ila unaweza malizia "nothing else"...ili kuweka maana ikae vizuri kwa kiswahili.
hiyo nayo ya 70s ?!!!Inanikumbusha boarding school, mtoto wa sure amekuja shule, prefect akamkuta amedodge kipindi, akamwambia ninakupeleka kwa mwalimu wa zamu. Wamefika kwa mwalimu ilikuwa English Speaking Week, prefect ameanza sir this one no in class just walk walk, mtoto wa kisure 'first of as a girl, I'm allowed to go and change my self as I'm on my periods' mwalimu amenogewa na language ya mtoto, prefect amekuja juu, 'are you jumping me infront of teacher?'
anaza na noth...ongeza but only"Just work here" ndo in english..........ila unaweza malizia "nothing else"...ili kuweka maana ikae vizuri kwa kiswahili.
It Can Be Done.Play your part... Ndio unakuja hapa ni kazi tuu.
Inanikumbusha boarding school, mtoto wa sure amekuja shule, prefect akamkuta amedodge kipindi, akamwambia ninakupeleka kwa mwalimu wa zamu. Wamefika kwa mwalimu ilikuwa English Speaking Week, prefect ameanza sir this one no in class just walk walk, mtoto wa kisure 'first of as a girl, I'm allowed to go and change my self as I'm on my periods' mwalimu amenogewa na language ya mtoto, prefect amekuja juu, 'are you jumping me infront of teacher?'

Inanikumbusha boarding school, mtoto wa sure amekuja shule, prefect akamkuta amedodge kipindi, akamwambia ninakupeleka kwa mwalimu wa zamu. Wamefika kwa mwalimu ilikuwa English Speaking Week, prefect ameanza sir this one no in class just walk walk, mtoto wa kisure 'first of all as a girl, I'm allowed to go and change my self as I'm on my periods' mwalimu amenogewa na language ya mtoto, prefect amekuja juu, 'are you jumping me infront of teacher?'

Boarding school kwenye room nikimkuta mshikaji amelala fofofo nikawa navuta mto wake wa kulalia akashtuka na nikuniambia Don't smoke my riverInanikumbusha boarding school, mtoto wa sure amekuja shule, prefect akamkuta amedodge kipindi, akamwambia ninakupeleka kwa mwalimu wa zamu. Wamefika kwa mwalimu ilikuwa English Speaking Week, prefect ameanza sir this one no in class just walk walk, mtoto wa kisure 'first of all as a girl, I'm allowed to go and change my self as I'm on my periods' mwalimu amenogewa na language ya mtoto, prefect amekuja juu, 'are you jumping me infront of teacher?'