Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,304
Chelsea hawakubahatisha kubeba ubingwa wa UEFA, kwa maana hiyo watabeba tena back to back, kiuhalisia ulaya nzima hakuna kocha world class wa kubattle na Tuchel kimbinu, hilo limedhihirika last season, sababu alifungwa na makocha wenye cv ndogo wasio na tictics yaan makocha wanaofundisha soka la (fungulia mbwa) wasio na mifumo rasmi, na makocha wa aina hiyo kule UEFA ni wachache na wengi timu zao huishia hatua za makundi.
Kwa maana hiyo hii UEFA kuna kila dalili ya Chelsea kubeba tena back to back. ni swali rahisi tu, hivi kama Tuchel katinga fainali ya UEFA back to back tena akiwa na timu mbili tofauti, kipi kinachoshindikana kwake kubeba UEFA mfululizo tena baada ya kufanya sajili za wachezaji anaowataka?