Baada ya jana kuingia fainali ya michuano ya klabu bingwa Ulaya, PSG yavunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Arsenal

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,370
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) kutoka Ufaransa, jana imefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuifunga Klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani goli 3-0

Mchezaji wa PSG, Angel di Maria alikuwa nyota wa mchezo jana kwa kutoa pasi mbili za magoli na kufunga goli moja, na kuacha maswali mengi kwanini hakufanya vizuri alipokuwa Manchester United

Huu ilikuwa ni mchezo wa 110 wa PSG katika michuano ya Ulaya - michezo mingi kuchezwa na timu kabla ya kufika fainali ya kwanza, wakivunja rekodi ya Arsenal ya michezo 90 kati ya 1971-2006

PSG itakuwa timu ya 5 kutoka Ufaransa kufika fainali ya Michuano ya Ulaya na ya kwanza tangu Monaco ifanye hiyo miaka 16 iliyopita. Timu za Italia 6, Ujerumani 6 na England 8 zimewahi kufika fainali

Angel di Maria hajapoteza michezo 17 ya michuano ya Ulaya aliyoifungia timu yake (W15 D2 L0 - amefunga jumla ya magoli 21) - Mohamed Salah (18), Gonzalo Higuain (21) na Patrick Kluivert (25) ndio wamefunga katika michezo mingi bila kupoteza zaidi yake
====

This was PSG's 110th game in the European Cup/Champions League - the most played by a side before reaching their first final, overtaking Arsenal's record of 90 between 1971-2006.

PSG will be the fifth different French side to appear in a European Cup/Champions League final and the first since Monaco in 2003-04. Only Italy, Germany (6 each) and England (8) have had more different clubs appear in the final of the competition.

German sides have been eliminated in the semi-finals of the Champions League on each of the past five occasions they have reached this stage of the competition (Bayern four times between 2014-2018 and RB Leipzig tonight), since both Bayern Munich and Borussia Dortmund made the final in 2012-13.

No side has ever scored in more consecutive matches in major Uefa competitions than PSG's current run of 34 (level with Real Madrid between 2011-2014 in the Champions League). The last side to stop the Parisians scoring were Manchester City back in a 1-0 win in April 2016.

PSG's Angel di Maria is unbeaten in all 17 Champions League matches he has scored in (W15 D2 L0 - 21 goals in total) - only Mohamed Salah (18), Gonzalo Higuain (21) and Patrick Kluivert (25) have scored in more games without defeat in the competition's history.
 
Sasa vigogo wengine walimshindwaje huyu RB Leipzig?

Hapo ndo utajua mpira mwanaharamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom