Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,568
- 7,463
Kama unamjua vizuri huuyu Jamaa Masanilo basi huezi kushangaa comments zake...!! Huyu akili yake ilishakufa kitambo...before akitumia initial ya Rev. Masanilo..ana mitusi, ni mwehu, mwendawazimu na kikubwa zaidi amezeeka vibaya!! Hana uwezo wa kuichambua soka na hajawahi kuwa na uwezo huo!! Eti anavyojua yeye Arsenal haezi kuwa Bingwa....simple statement from simple mind..!!
Last edited by a moderator: