Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
- Thread starter
- #61
Huyo ni bingwa wa kucheza mind games. Burudani kwelikweli, napenda sana kusikiliza interview zake.
Manuel Pellegrini alikataa kabisa vita ya maneno Na Jose maana Jose kila alipokua akitembea kz yake ilikua ni kuwasifu City kua timu nzuri na inafunga magoli mengi. Kumbe nyuma yake anaandaa dawa ya kuifunga City! Jose Mwehu sn!