Chelsea inaweza kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu??

Wewe ni Mwehu ambaye hata uchambuzi wa Mpira hauujui!! Maneno mengi lakini U got an Empty Mind...like HeadLess Chicken...na kwa taarifa yako hii post utaifuta kesho tu saa 11 pale utakapoona LiverFool kabugizwa na kaacha points zote 3 kwa washika Buunduki..!!

COYG

Nakusamehe bure!
 
Mathematically chelsea ni bingwa!

Hii haihitaji elimu kubwa kulijua hili,

Moja, golini; czech: huyu amekuwa ni mhimili mzuri sana ktk mafanikio tuyaonayo sasa chelsea! anauwezo mkubwa golini amesave mikimiki mingi sana na ndio maana chelsea ni moja ya timu EPL iliyofungwa goli chache zaidi!

Pili, beki; Huu ndo ukuta wa berlin kwa sasa EPL chini kiongozi JT, akiwapanga na kuwaongoza vizr wenzake ktk kulinda, kukaba & kushambulia kama nyuki! hapa JT kwangu ni zaidi mchezaji uwanjani ni Kiongozi imara,

Tatu, viungo; Hapa ndo jeuri ya JM inapotokea viungo wake wanakaba kwa nguvu, wanadefence vizuri, wanashambuali kwa kasi kuubwa, wanafunga goli nyingi sana! hii ndo roho ya Morinyo!

Mwisho, Hatuna washambuliaji wakali sana ila wanafunga magoli muhimu ktk mechi muhimu wakisaidiwa na viungo wanaotisha kama njaa!

N.b Uwepo wa JM ni added-value kwa chelsea anajua namna ya kucheza na saikolojia ya wapinzani,
Anajua namna ya kupanga na kupangua kikosi kutegemea anacheza na nani na wapi?
Ni mzoefu wa EPL kuliko Pellegrin

#$city wana kikosi kidogo sana asipo kuwepo yaya & f.dihno katkat timu haina mbadala, pamoja na hivyo wanamchosha yaya kwa kumchezesha kila mechi kila mashindano hali hii inampunguzia kasi yake!
beki iko mahututi ndio maana wanafunga goli nyingi na wao wanapigwa goli kadhaa
washambualiji wapo vizr!
N.b ratiba haiwafevi sana EPL & UCL watachanganyikiwa!

Aseno hawapo kwenye mbia hizi za ubingwa!

#Team Hazard.
 
Asante Mkuu! Binafisi nilikaa nikatafakari nakupiga hesabu nikaona Chelsea wanatisha! Ndo nikaona tupate maoni kutoka kwa wadau km hii timu itatwaa ubingwa? Asante sn Mkuu kwa uchambuzi wako! Lkn Hichi kitendawili kitakua kinateguliwa kila baada ya game!

Karibu tena!
 
Kitendawili cha nani bingwa kinazidi kuteguliwa kila baada ya game na Chelsea Bado yuko kileleni!
 
Najua hampendi Hilo!

hahahahahahaha naona umeongea kiupole kweli.
By the way ni ukweli ulio waz kuwa kwa sasa ni mapema mno kutabiri ubingwa wa EPL mkuu na hii ni kutokana na msimao ulivyo mpaka sasa.
 
Wala sijaongea ki-upole na ktk huu Uzi nimeweka ushabiki Wa timu yng pembeni!

Na ukiangalia ratiba ilivyo kwa timu zote na viwango vya timu vilivyo bilashaka Chelsea yaweza twaa Ubingwa!
 
ukiangalia fixture kwa timu za big 4 utajua bingwa ni kati ya chelsea au liverpool. kubali kataa ukweli ndo huo
 
Leo tena ligi ya EPL inaendelee Tutazidi kupata kuona km Chelsea itazidi kukaa kileleni?
 
Back
Top Bottom