Chelsea inaweza kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu??

Mourinho burudani kweli hebu angalia hii kauli yake "We love the big games..."two horses and a little horse that still needs milk and to learn how to jump.

Mkuu hayo ni maneno mazito sn! Tena sio yakufanyia mchezo! Nimekua nikiyakumbuka nacheka sn!
Jose ni Mwehu!
 
Ntuzu yuko sahihi mkuu, kumbuka kipindi cha awali alipokuwa Chelsea lampard ndo alikuwa anaongoza kwa ufungaji wa magoli, ila Drogba alikuwa mchezaji bora kwa Jose kwasababu alikuwa anatimiza majukumu aliyo pewa uwanjani.

Mkuu Nashukuru kwa kunisaidia Hilo! Ata sasaivi Eto'o amekabiziwa majukumu km ya Drogba zamani. Na akipata nafasi anakufunga wakati huo huo awachezeshe wenzaka. Na ndio maana Chelsea mtu yeyote anakufunga! Na huo ndio mfumo Wa Jose!
 
Kuna rafiki yangu mmoja mshabiki wa Man United. Anaipenda mno timu hii. Hataki kuambiwa chochote kibaya kuhusu Man U. Na ndivyo tulivyo mashabiki wengi duniani, tunapenda kujipa matumaini sana hata mahali matumaini yanapopotea waziwazi.

Nilimwambia mwanzoni wa mwezi mwishoni wa mwezi Oktoba 2013 kuwa hakuna namna yoyote Man U inaweza kutwaa ubingwa mbele ya Man City, Chelsea, Arsenal na Liverpool. Alibisha sana sasa hivi anaona aibu. Na ndivyo napenda kuwajulisha mashabiki wa Arsenal, hakuna namna yoyote Arsenal hii inaweza kuwa bingwa wa EPL msimu huu mbele ya Liverpool, Man City na Chelsea. Kataeni, nuneni, tukaneni lakini Arsenal ina nafasi ndogo sana ya kuwa bingwa msimu huu. Na sababu ni ndogo tu. Uwezekano wa Arsenal kuchukua alama tatu tatu kutoka Chelsea, Man City na Liverpool ni mdogo kuliko timu hizi kuchukua alama kutoka kwake.

Kwa hiyo, Man City ina nafasi kubwa zaidi ya kuchukua ubingwa, na chelsea inafuatia kwa karibu zaidi.

Kama mambo yatakwenda kama yalivyo, mtazamo wangu mimi mwishoni wa msimu kuna uwezekano mkubwa wa msimamo wa EPL ukawa:

1. Man City 80%
2. Chelsea 78%
3. Liverpool 65%
4. Arsenal 62%
5. Totenham 50%
6: Man United 50%

Kwanini hapa umeishusha sn Arsenal na ndio wanaoongoza ligi?

Na Kwanini uwape City ambao wameonekana wazuri tu wakiwa Etihad?
 
Mkuu hayo ni maneno mazito sn! Tena sio yakufanyia mchezo! Nimekua nikiyakumbuka nacheka sn!
Jose ni Mwehu!
Huyo ni bingwa wa kucheza mind games. Burudani kwelikweli, napenda sana kusikiliza interview zake.
 
Kwa jinsi Chelsea walivyoimarika sasaivi na wako na vikosi viwili vizuri tofauti na Man City, Huoni km kwa wao itakua rahisi pamoja na kua ligi ya EPL ni Ngumu? Kwa mfano J3 Man City ukosefu Wa Fenandinho na Aguero ulionekana kuwasthiri City?

uko so biased na chelsea
 
Ntuzu akili yako ina kale kaugonjwa cha kuanguka anguka ovyo....aahg Yes ni kifafa!! nA MAWAZO MGANDO PIA
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nashukuru kwa kunisaidia Hilo! Ata sasaivi Eto'o amekabiziwa majukumu km ya Drogba zamani. Na akipata nafasi anakufunga wakati huo huo awachezeshe wenzaka. Na ndio maana Chelsea mtu yeyote anakufunga! Na huo ndio mfumo Wa Jose!

Ni kweli mkuu huyo ndo Jose "special one". Angalia hata alivyokuwa anamtumia Karim Benzema akiwa real madrid
 
Kuna rafiki yangu mmoja mshabiki wa Man United. Anaipenda mno timu hii. Hataki kuambiwa chochote kibaya kuhusu Man U. Na ndivyo tulivyo mashabiki wengi duniani, tunapenda kujipa matumaini sana hata mahali matumaini yanapopotea waziwazi.

Nilimwambia mwanzoni wa mwezi mwishoni wa mwezi Oktoba 2013 kuwa hakuna namna yoyote Man U inaweza kutwaa ubingwa mbele ya Man City, Chelsea, Arsenal na Liverpool. Alibisha sana sasa hivi anaona aibu. Na ndivyo napenda kuwajulisha mashabiki wa Arsenal, hakuna namna yoyote Arsenal hii inaweza kuwa bingwa wa EPL msimu huu mbele ya Liverpool, Man City na Chelsea. Kataeni, nuneni, tukaneni lakini Arsenal ina nafasi ndogo sana ya kuwa bingwa msimu huu. Na sababu ni ndogo tu. Uwezekano wa Arsenal kuchukua alama tatu tatu kutoka Chelsea, Man City na Liverpool ni mdogo kuliko timu hizi kuchukua alama kutoka kwake.

Kwa hiyo, Man City ina nafasi kubwa zaidi ya kuchukua ubingwa, na chelsea inafuatia kwa karibu zaidi.

Kama mambo yatakwenda kama yalivyo, mtazamo wangu mimi mwishoni wa msimu kuna uwezekano mkubwa wa msimamo wa EPL ukawa:

1. Man City 80%
2. Chelsea 78%
3. Liverpool 65%
4. Arsenal 62%
5. Totenham 50%
6: Man United 50%
Wewe ni Mwehu ambaye hata uchambuzi wa Mpira hauujui!! Maneno mengi lakini U got an Empty Mind...like HeadLess Chicken...na kwa taarifa yako hii post utaifuta kesho tu saa 11 pale utakapoona LiverFool kabugizwa na kaacha points zote 3 kwa washika Buunduki..!!

COYG
 
Kwanini hapa umeishusha sn Arsenal na ndio wanaoongoza ligi?

Na Kwanini uwape City ambao wameonekana wazuri tu wakiwa Etihad?
Et list mara moja moja unakuwa na akili nzuri pasipo Bias...Wenger alishawahi kusema...kucheza zaidi ya game 24 na bado unaoongoza ligi sio bahati.. all #Mburukenge
 
Mkuu Sizinga naona umanza kuvurumisha maneno mazito mazito wakati mechi bado mkuu?
Tulieni jamani; kesho kazaneni la sivyo saa 12 jioni tutakuwa juu yenu kwenye msimamo wa ligi.😛hoto:
 
Kwel lampard amekua mfungaj bora wa muda wote uko sahh kabsa kwa maana yake yy amekua na wastan mzur wa upajkaji magol muda wote toka ajiunge na chelsea! Lakn haina maana kwamba yy alkua mfungaj bora kuliko drogba c kwel hata kdogo kiongoz wang!!
 
uko so biased na chelsea

Mkuu Mimi nauliza maswali kutokana na Hali jinsi ilivyo kwa timu zote kubwa! Sasa kuanza kunisonga Mimi sio poa! We Lete maoni yako tu Mkuu!

Unaonaje Chelsea msimu huu inaweza chukua kikombe?
 
Mkuu Sizinga naona umanza kuvurumisha maneno mazito mazito wakati mechi bado mkuu?
Tulieni jamani; kesho kazaneni la sivyo saa 12 jioni tutakuwa juu yenu kwenye msimamo wa ligi.😛hoto:
Huwa nawashangaa sana hawa #Mburukenge mkuu..kesho hatuwezi kufanya makosa!! Tumepumzika wiki nzima na tupo fit kukabiliana na any team...iwe home au away!!
 
Ntuzu akili yako ina kale kaugonjwa cha kuanguka anguka ovyo....aahg Yes ni kifafa!! nA MAWAZO MGANDO PIA

Mkuu Sizinga Yani hujakosea kabisa! Na Leo nimeamguka Mara kadhaa Mwanangu!!

Teh Teh Teh Teh

Jirani yng unanifurasha sn!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ntuzu ni kweli Chelsea ananafasi kubwa sana, timu kuchukua kombe tunaangalia ukubwa wa kikosi, uwezo wa Kocha..kati ya City na Chelsea mmoja mi naamini anachukua kombe, The Gunerz nafasi ya 3, na Liva 4.
 
Kuna rafiki yangu mmoja mshabiki wa Man United. Anaipenda mno timu hii. Hataki kuambiwa chochote kibaya kuhusu Man U. Na ndivyo tulivyo mashabiki wengi duniani, tunapenda kujipa matumaini sana hata mahali matumaini yanapopotea waziwazi.

Nilimwambia mwanzoni wa mwezi mwishoni wa mwezi Oktoba 2013 kuwa hakuna namna yoyote Man U inaweza kutwaa ubingwa mbele ya Man City, Chelsea, Arsenal na Liverpool. Alibisha sana sasa hivi anaona aibu. Na ndivyo napenda kuwajulisha mashabiki wa Arsenal, hakuna namna yoyote Arsenal hii inaweza kuwa bingwa wa EPL msimu huu mbele ya Liverpool, Man City na Chelsea. Kataeni, nuneni, tukaneni lakini Arsenal ina nafasi ndogo sana ya kuwa bingwa msimu huu. Na sababu ni ndogo tu. Uwezekano wa Arsenal kuchukua alama tatu tatu kutoka Chelsea, Man City na Liverpool ni mdogo kuliko timu hizi kuchukua alama kutoka kwake.

Kwa hiyo, Man City ina nafasi kubwa zaidi ya kuchukua ubingwa, na chelsea inafuatia kwa karibu zaidi.

Kama mambo yatakwenda kama yalivyo, mtazamo wangu mimi mwishoni wa msimu kuna uwezekano mkubwa wa msimamo wa EPL ukawa:

1. Man City 80%
2. Chelsea 78%
3. Liverpool 65%
4. Arsenal 62%
5. Totenham 50%
6: Man United 50%

Mkuu kwa mengine nimekubali ila sijui umetumia vigezo gani kumshusha Arsenal mpaka Livapool waje nafasi ya 3, mi naamini Arsenal atamudu kuwa nafasi ya 3 na Livapool kuwa 4.
 
Et list mara moja moja unakuwa na akili nzuri pasipo Bias...Wenger alishawahi kusema...kucheza zaidi ya game 24 na bado unaoongoza ligi sio bahati.. all #Mburukenge

Wewe Najua unanchokoza tu! Wapo kina agosti 8 na Mentor na Mkuu EMT watakujibu! Mimi hiki kitendawili cha Chelsea inaweza ikatwaa ubingwa Wa EPL kitakua kinategulia kila baada ya mechi! Tukifika Mwezi Mei au tukikaribia Mei kutoka na ligi itakavyo kua ndio nitasima upande wangu Wa timu Yangu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom