Chelsea inaweza kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu??

Chelsea inaweza kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu??

Kwa mtazamo wangu tayari Chelsea wana posibility kubwa kuchukua kombe ukilinganisha na Arsenal,Man City na Liverpool.
Chelsea- walianza ligi vibaya na walikuwa wanapoteza timu dhidi ya vibonde Stoke,Sunderland na walikuwa na safu ya ushambuliaji butu.Mourinho ni kocha ambaye akitaka kupata droo mechi yeyote anaipata tofauti na Wenger na Pelegrini
Usajili wa Matic na Salah ulikuwa muhimu sana kuongeza depth na wengi mmemuona Matic kwenye game ya Man City wengi walishangaa why Jose hakusajili striker.Chelsea wana almost wachezaji wote wanafunga (Terry,Cahill,Luiz,Ramirez,Oscar,Lamps,Hazard,Etoo,Willian) na kwa Mourinho yeye ushindi wa 1-0,2-1 kwake ni muhimu kuliko kushinda 6-0,5-1.Na tayari ameshacheza dhidi ya United na City so amebakiza Liverpool na Arsenal ambao anaweza kuamua kupaki bus au akafanya kama alivyowafunga Man City

Man City- tatizo lao kubwa wakiwa ugenini wanakuwa timu ya kawaida sana,pia wana key players ambao wakiumia (Kompany,Silva,Toure,Fernandinho na Aguero) timu inakuwa sio ya kutisha.Man City still wana game dhidi ya United,Arsenal,Liverpool na almost zote ni za ugenini.So sioni kama wataweza furukuta kwenye hizo game zote na still Pelegrini hajaizoea premier league ndio maana mara nyingi timu ndogo zinakuwa zinamsumbua sana nafikiri ligi ya mwakani huenda akafanya vizuri zaidi

Arsenal-Huu ndio ulikuwa msimu wao kuchukua ubingwa but kwa sasa imeshakuwa ngumu sana,walianza ligi vizuri sana na timu nzima ilikuwa inacheza kwa ushirikiano na hawakufanya makosa kama miaka ya nyuma hasa defence(Laurent,Sagna,Per na Schenzy) na Ramsey alikuwa kwenye fomu sana.Tatizo kubwa la Wenger hana utaalamu wa kupanga timu kwenye big match vibonde Man United,Liverpool na Man City wote wamemfunga Arsenal,issue nyingine ni kutosajili mshambuliaji wa kumsaidia Giroud,ukiwa na playmaker kama Ozil lazima uwe na wafungaji wa uhakika na majeruhi wa muda mrefu kama Podolski,Walcot,Ramsey,AOX.Ukiangalia fixture ya Arsenal ya February na March ni ngumu sana Arsenal kuchukua ubingwa

Mkuu Belo uchambuzi wako mzuri sn! Sasa Ngoja waje Hawa wanazi Wa timu zao tuone wanasema nini juu ya maoni yako!

ndetichia Piere. Fm Mourinho
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kwamba Ligi ya mwaka huu haitabiriki Chifu, Arsenal, Chelsea au Man City wanaweza kurudi kileleni muda wowote tu ...Ngoja tusubiri game za Jumatano

Mkuu tutakua tunapata muelekeo Wa ligi kadri ligi inavyokwenda! Lkn kilichonisukuma mpk nikaandika hii Mada na kuileta hapa jamvini tuijadili ni baada ya kuangalia Ratiba ilivyo kwa timu zote kubwa 4 na nikaona Ratiba ya Man City na Arsenal haijakaa vizuri na viwango vyao vimeshuka kidogo! Huku Chelsea akiwa na game moja kubwa ugenini kwa Liverpool tu! Na mbili Darajani ya Arsenal na Spurs! Ndio nikauliza CHELSEA ANAWEZA KUTWAA KOMBE MSIMU HUU?
 
Unauliza makofi polisi?
 
Sisi ni mabigwa,waache madebe shinda wazidi kupiga kelele
 
Last edited by a moderator:
Wewe tian wewe? Ngoja nikuitie mwallu aje aone unavyosema maana yeye yuko na Man Utd mpk kufa!

Embu mwite,maana walisema by xmas watakuwa wana lead,sasa mimi nashindwa ni Xmas ipi hiyo??
 
Last edited by a moderator:
Ni ngumu kuamini lakini ukwli ni kua liverpool ndo mshindi msimu huu...
 
Hakuna shida Mkuu!

Chelsea na Manchester City wana nafasi kubwa kuwa mabingwa wa msimu huu lakini nawapa nafasi zaidi Chelsea kwa sababu;

Wana improve kila baada ya mechi, defensively wameruhusu goal moja tu mwaka huu(2014), offensively Hazard, Oscar, Willian, Etoo wamekuwa tishio kwa beki yeyote ile wanayokutana nao na wawili kati yao washapata hat-trick mwaka huu(2014)

Wachezaji wake wanaanza kuelewana vizuri uwanjani, (angalia magoli mawili ya jana ya Hazard ukiacha la penati, utaelewa point yangu)

Wamefanya usajiri mmoja muhimu sana, Nemanja Matic, ana nguvu, akili, technically and tactically brilliant, mwepesi kwenye kufanya maamuzi tofauti na Mikel, anauwezo wa kupanda mbele kushambulia na team inaweza kurelax sasa incase Ramires ataumia au wanaweza kumpumzisha kama jana, maana mpaka sasa Ramires kacheza dakika nyingi kuliko mchezaji yeyote wa chelsea

Wana kocha ambaye haitaji kutambulishwa na ana psychological advantage kwa wapinzani wake wa karibu, Pellegrini na Wenger

Fixture list yao iko at least friendly ukilinganisha na City na Arsenal, City anahitaji kwenda Old Trafford, Emirates, Goodson Park, Anfield wakati ratiba ya Arsenal ndio tafu zaidi, wadau washaitaja hapo juu

Hawana majeruhi zaidi ya Van Ginkel,
 
Mkuu Asante kwa uchambuzi wako mzuri!
Nafikiri kila baada ya Mechi tutakua tunapata mueleko Wa ligi inavyokwenda! Ata Mimi nimetishwa na kiwango cha Chelsea Na Kocha wao mpk nikaona tupate maoni ya wadau km nyie na wengine!
 
Back
Top Bottom