Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Ni jumatatu iliyo pita chelsea iliivunja rekodi ya Man City ya kutokufungwa katika uwanja wake wa Etihad na kuacha gumzo kubwa England baada ya timu ya Man City kufungwa mara mbili na Chelsea.
Makocha wa timu kubwa 5 za EPL na wachambuzi wa soccer wamelazimika kuitizama Chelsea kwa kwa umakini mkubwa!
Huku ligi ikiwa imeshavuka nusu na bado game 9 tu msimu uweze kuisha huku Chelsea akiwa ameshamaliza mechi na Man Utd na Man City. Bado Arsenal, Liverpool!
Swali linakuja je kwa kiwango walicho onyesha Chelsea kwa hivi karibuni na Ubora wa Kocha wao na kukataa kufungwa na timu zinazogombea ubingwa, je Chelsea wako na nafasi ya kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu?
######################
Kile kitendawili kinazidi kuteguliwa na bila Shaka natabili Kua Chelsea Ni Bingwa Wa msimu 2013/2014
Historia inaonesha Kua Jose Mourinho hajawahi kukosa ubingwa Wakati ligi ikiwa imefika Wakati huu Huku akiwa anaongoza ligi!
Man City iwapo atashinda game 3 alizonazo Km kiporo basi atakua sawa na Chelsea kwa Point ila atakua anaongoza kwa wingi Wa magoli! Lkn kupata point ndio muhimu Zaidi! Kwahiyo Chelsea ana uwezekano mkubwa Wa Kua Bingwa!