Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,603
- 22,717
Patashika nguo kuchanika inatarajiwa leo wakati Chelsea FC watakapowakaribisha Manchester City katika dimba la Stamford Bridge, kwenye mchezo wa kusisimua wa English Premier League
Chelsea wataingia uwanjani wakisaka ushindi muhimu ili kujiimarisha kwenye msimamo wa ligi, huku Manchester City wakilenga kuendelea na ubora wao na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya ubingwa.
Mashabiki wa soka duniani kote wanasubiri kwa hamu kuona nani ataibuka kidedea katika pambano hili kubwa.
Je, Chelsea watatumia faida ya nyumbani, au City wataendelea kutamba?
UPDATES
51: Goal - Nico O'Reilly
57: Goal - Marc Guèhi
68: Goal - Jèrèmy Doku