liverpool tunachukua ubingwa mwaka huu. hatutaki mchezo kabisaaa
Natabiri,
1,chelsea
2,man city
3,liverpool
4,hapa tusishangae totenham au arsenal​
Kwanini unaipa nafasi chelsea na wakati matajiri Wa kiarabu City wamekua wanyoga magoli mengi sn!? Kila timu wakikutana nayo inafungwa wastani Wa Goli 4?
Na Kwanini wasiwe Arsenal ambao wamedumu kwa Muda mrefu ktk kuongoza ligi?