1095639

Eden Hazard: “ I have made my decision. I'm still waiting like you are waiting and like the fans are waiting.
Eden when asked if he'd have liked his future to be cleared up earlier - "Yes I wanted that, but that's not happened. I've told the club a couple of weeks ago. Eden when asked if Chelsea getting a top four spot made any difference to his decision - "No, I don't think so. I have made my decision, that's it I'm still waiting. We have a final to play and then I will see.
 
Hiyo ya kwamba tumepata top 4 chance kwa hisani ya Araenal na Man U unakosea sana. Ina maana sisi hatuwezi kuwa imara tukaearn top four kwa juhudi zetu? Yani kwenye ligue ukisema hivyo unakosea sana maana ligue siyo mechi mbili au knock out. Kumbuka Man U ametutoa point 2 tumemtoa 2, Arsenal kakutoa 3 tumemtoa 3. Sasa sijui umemaanisha nini kusema hivyo mkuu?
Ndugu tuache ushabiki msimu umeisha, Chelsea wali-confirm top 4 bila kucheza. Baada ya mchezo wa Watford, Arsenal wangeweza kuwafunga Brighton wangetupita na pia Tot wangewafunga Bonamouth wangetupita. Baada ya kuboronga sana Dec-Feb Top 4 ilikuwa mikononi mwa Arsenal na Tot. Hata comeback ya Chelsea isingesaidia kurudi top 4 kama sio Arsenal wameamua tu wenyewe kwa uzembe wao kulegea, hapo ndio nilimaanisha kwa kutumia neon HISANI. Kwa ufupi wote wangeshinda mechi mbili za mwisho, Chelsea isingekuwa top 4
 
View attachment 1095639
Eden Hazard: “ I have made my decision. I'm still waiting like you are waiting and like the fans are waiting.
Eden when asked if he'd have liked his future to be cleared up earlier - "Yes I wanted that, but that's not happened. I've told the club a couple of weeks ago. Eden when asked if Chelsea getting a top four spot made any difference to his decision - "No, I don't think so. I have made my decision, that's it I'm still waiting. We have a final to play and then I will see.
Hazard, mbona sipati picha, maamuzi gani sasa kafanya huyu anatufanya kama sisi ni watoto. Aondoke tu ili tuzibe nyufa na nyumba itaendelea kuwa imara tu. Mimi naamini hivyo
 
240px-Chelsea_FC.svg.png

Full name:
Chelsea Football Club

Nickname(s): The Blues, The Pensioners

Founded: 10 March 1905

League: Premier League

Website: ChelseaFC.com

View attachment 450996
Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m

View attachment 450991
Owner: Roman Abramovich

View attachment 450993
Chairman: Bruce Buck

View attachment 822913
Head Coach: Maurizio Sarri
Chelsea Trophies:
League Tittles: 6

Premier League Champions: 5 (2016/17, 2014/15, 2009/10, 2005/06, 2004/05)
First Division Championship: 1 (1954/55)

European Trophies: 5
UEFA Champions League: 1 (2011/12)
UEFA Europa League: 1 (2012/13)
UEFA Super Cup: 1 (1998)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98, 19970/71)

FA Cup Trophies: 8 (2018, 2012, 2010, 2009, 2007, 2000, 1997, 1970)

League Cup: 5 (2014/15, 2006/07, 2004/05, 1997/98, 1964/65)

Community Shield: 4
FA Community Shield: 2 (2009, 2005)
FA Charity Cup: 2 (2000, 1955)

Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1988/89, 1983/84)
Full Members Cup: 2 (1989/90, 1985/86)

View attachment 794454
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2018)

View attachment 512734
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned Premier League Champions (2016/17)

View attachment 663322
Chelsea FC Squad (2017/18)

Follow this thread for team updates!
Muanzilishi wa huu uzi rekebisha hii
European Trophies: 5
UEFA Champions League: 1 (2011/12)
UEFA Europa League: 1 (2012/13)
UEFA Super Cup: 1 (1998)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98,
19970/71
)
 
Jana ndio nimeamini Kovacic hatatufaa kabisa kwenye defense phase, ni mzito mzito balaa, naona arudi tu madrid
 
Muanzilishi wa huu uzi rekebisha hii
European Trophies: 5
UEFA Champions League: 1 (2011/12)
UEFA Europa League: 1 (2012/13)
UEFA Super Cup: 1 (1998)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98,
19970/71
)
Hapo kwenye EL asubiri mpaka tar 29 kwanza, u never know
 
Kumbuka first round iliisha Chelsea akiongoza. Je hapo kwa nini usiseme kwamba Arsenal na Man U waliingia top four kwa muda kwa hisani ya Chelsea baada ya Chelsea kuboronga? Maana mm naamini ligi ni mzunguko. Timu inabebwa na kiwango chake. Tupo hapo tulipo kwa sababu ya quality tuliyonayo na Araenal wapo hapo walipo kwa sababu ya quality yao na hata Wolves wapo hapo walipo kwa sababu quality yao ndivyo ilivyo
Ndugu tuache ushabiki msimu umeisha, Chelsea wali-confirm top 4 bila kucheza. Baada ya mchezo wa Watford, Arsenal wangeweza kuwafunga Brighton wangetupita na pia Tot wangewafunga Bonamouth wangetupita. Baada ya kuboronga sana Dec-Feb Top 4 ilikuwa mikononi mwa Arsenal na Tot. Hata comeback ya Chelsea isingesaidia kurudi top 4 kama sio Arsenal wameamua tu wenyewe kwa uzembe wao kulegea, hapo ndio nilimaanisha kwa kutumia neon HISANI. Kwa ufupi wote wangeshinda mechi mbili za mwisho, Chelsea isingekuwa top 4
 
Tangu mwaka 2014 ni team tatu tu EPL zilizokuwa zikipokezana ubingwa

Man city Mara 3
Chelsea Mara 2
Leicester city Mara 1
 
Hapo bado Europa league ya pili kuwa club iliyopata mafanikio zaidi tangu 2009- 2019 kuliko club zote za EPL

Chelsea sio ya mchezo mchezo jamani
salehjembefacts___BxXnWQ4DLc8___.jpg
 
Kocha itabidi amrudishe Tammy Abraham kwenye safu yake ya ushambuliaji...ila awambie kabisa wale watoto Hodoi..Cheek na Joginhyo waache uyoto wanapokua uwanjani make kuna wakati wanacheza kama wale watoto wa Man Utd
 
I think Odoi, na Loftus cheek ni mazao bora kabisa kutoka academic ya Chelsea
 
Back
Top Bottom