lonewolf ranger
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 476
- 149
humu ndani mbona kimya....
kipindi cha kwanza walituzingua nilikuwa anishakata tamaa,kipindi cha pili game ilipendeza,sijaona mapungufu mengiNimependa how we played second half aisee...soooo nice and entertaining. Mourinho ana kazi ya kuamua nani aondoke na nani abaki kwenye zile wingers...willian..hazard...cuadrado...moses.
Hapo bado Remy kacheza fresh sana.
Nimependa Cuadrado na Oscar wanavyocheza kwa kumwangalia striker...italipa very soon and Falcao will be scoring again.
Nimependa gameplay ya Ramires leo...kacheza kama Matic wa first round msimu uliopita...
Dah..hadi raha yani!
And the game is over....Chelsea* 1 - 1 PSG (6-5pen)
Asante everlenk nimestream live from youtube aisee...t was soooo nice.
Hongereni sana am not much hater like you.....ila mmeponea kidogo tu.....shukuruni mlirudi vizuri kipindi cha pili lasivyo mim na pacha angu tungesasambua humu na kigodoro acha!!!!
Ujinga ni kubishana na ukweli..
CHELSEA FC haitazamwi na fans wa Chelsea tu...
Man Utd, Arsenal Fc, Liverpool, na Man city wote hutazama Chelsea...
au hujui?
lazima mtazame CHELSEA FC mabingwa wenu...
:doh:
ni wivu ama kutojua?
timu yako 'middle' table..
tulia kijana..
IF IT'S NOT BLUE.. IT WILL BE.:teeth:
Mourinho saying ".....are trying to buy titles"
U should have seen his mood wakati anayatamka haya! Tatizo mnasoma tu mnakimbilia kukomenti...
Hii sijui niiweke kule kwao...