Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nilitoka mara moja...hata hivyo ndo naingia jijini just now. Nikifika home nitajumuika nanyi hapa!

Mhhh!!! Okay...naona ulisafiri Jana siyo baada ya kipigo eeeh....ufike salama Mcharo wangu.
 
Tumepata matairi mapya ya Yokohama. Tunafanya majaribio ya kupaki bus kwa hayo matairi! Sasa nyie wenye magari ya Chevrolet kinawauma nini?

Mimi binafsi kimeniuma sana kwanini mabingwa wafungwe? Yaani naumia jamani kwanini aaah!!! If it's not blue,it will be......
 
Mimi binafsi kimeniuma sana kwanini mabingwa wafungwe? Yaani naumia jamani kwanini aaah!!! If it's not blue,it will be......

🚶🚶🚶🚶🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🐎🐎🐎🐎🐎🐎🐎🐎💨💨💨💨💨💨💨

Usijali mamy tunajaribu matairi
 
Kubali basi na hii nayo ni mechi muhimu pia.....utaishia kutabiri hivyo hivyo si tunasonga mbele.....kuhusu mababu hilo tulifunga Mjadala Sababu nalo linakuhusu....

yah! ni muhimu kwa kuimarisha misuli, kwa kidhungu fitness ............ ni mazoezi tu!' nothing more, mana naona vibabu vyenu vinakaaaza utafikiri UEFA final.
 
hayo majaribio tu eh huon euh hizo yaan ilikuwa kila mmoja acheze mbona hao mabidada wamekomaa
 

Attachments

  • 1437672267881.jpg
    1437672267881.jpg
    34.7 KB · Views: 150
🚶🚶🚶🚶🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🐎🐎🐎🐎🐎🐎🐎🐎💨💨💨💨💨💨💨

Usijali mamy tunajaribu matairi

Mbona mmepoa hivi??? Kunani leo? Mnaogopa mtaitwa tena babies?.......wapi Mentor b5-click kalou.....nawasalimu tu.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom