Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hamlitaki Kombe mbuzi!!!!! Bora nyie mpka mcheze iwe homa ya jiji siye kusajili tu hata hatujacheza ni homa ya jiji na mautabiri kibao ya kina sheikh Yahaya......siyo wewe ulitabiri mengi?

Unasema usajili? Mbona hata kagera shuga wamesajili
 
Etii eee!!! Kaka yangu weee!!! Hii ligi iache tu tuko hapa kwasababu........actually sisi siyo wasagasumu ila leo imebidi wacha tusage sumu weee tukiridhika tutaondoka zetu.........lol cute b embu njoo pande hizi tuage........
 
Last edited by a moderator:

Hongeren sana wadada kuna mechi zingine za pre season mtarudi kufurahi humu hafu tukianza ligi mtatoa hongera nyingi ndani ya Uzi huu
 
Mkifanya vizuri siye hatuna hiyana tutawapongeza mkichemsha kama kawaida tutacheza kigodoro .......
 
Etii eee!!! Kaka yangu weee!!! Hii ligi iache tu tuko hapa kwasababu........actually sisi siyo wasagasumu ila leo imebidi wacha tusage sumu weee tukiridhika tutaondoka zetu.........lol cute b embu njoo pande hizi tuage........

Mamy twende zetu.
The bluuuz hii haiwaumizi wala
 
Last edited by a moderator:
Mmevamia Uzi Wa mabingwa kwa nguvu Leo! Nimesoma comment zenu nimecheka!

Wewe cute b njoo nkuchumu

Tumelia na wanaolia na tumecheka na wanaocheka tulikuwa tunawafariji na kuongeza kidogo page zenu huoni leo uzi wenu umekimbia kimbia....hahaha
 
Last edited by a moderator:
Hamlitaki Kombe mbuzi!!!!! Bora nyie mpka mcheze iwe homa ya jiji siye kusajili tu hata hatujacheza ni homa ya jiji na mautabiri kibao ya kina sheikh Yahaya......siyo wewe ulitabiri mengi?

tulikua tunawaambia ukweli kuwa mmesajili kibabu, utabiri wangu ni ule ule!' usifikiri kushinda kwenye mazoezi ya pre-season ndio mmemaliza kila kitu ......... kwanza hata UEFA Qualification sijui kama mtatoboa, nawaombea mpangwe na Fenabache Etooo ......... Van passsssss......... itakua raha siku hiyo nitakua Fenabache kwa mkopo.
 
Kubali basi na hii nayo ni mechi muhimu pia.....utaishia kutabiri hivyo hivyo si tunasonga mbele.....kuhusu mababu hilo tulifunga Mjadala Sababu nalo linakuhusu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom