Nakupiga Anfield wewe hauna team nguvu ya soda ilikuwa!
What a lethargic perfomance from your team?Chelsea's players have no legs!!
Kila la kheri, me silioni hilo likitokea kwa ligi hii Mkuu na kwa Chelsea hii
I respect u.
but u have no right to stop us from hoping what we are hoping.
u did in your league; I mean Juve..
why do u "hate" to see me doing well in all competitions?
Chelsea wataivaa Derby ktk robo fainali ya Capital One. Game Hizi zitachezwa ktk tarehe 15 December.
Chelsea atakua ugenini. Naona dalili za kufika Nusu Fainali. Na pia Timu zilizokua ngumu zimebaki chache. Ngoja tuone matokeo ya Hizo robo fainali games then tutajua Hali ilivyo...!
hii ni njia nyeupe ya chelsea kulichukua hili kombe ni utaratibu wa hili kombe timu kubwa au iliyo kwenye higher league kuifata ya lower league ndio maana unaona tunaenda away mara zote kwa hizi lower league,hapa ndipo tofauti chelsea inapoonekana...capital one14/15 watalibeba chelsea
How can you say that I "hate" to see you lot doing well?
I wished you luck, said 'Kila la kheri', didn't I? Now how is that 'hate'?
My league is weak unlike yours, after all that's just my opinion which am entitled to
Liverpool Ana nafasi ya kufika Nusu fainali pamoja na Sisi kutokana na timu tulivyopangiwa.
Na pia kuna Timu Spurs atakutana na Newcastle ktk robo fainali... Kwahiyo hawa watapunguzana wao wenyewe. Sasa km tutakuna na Liverpool au yeyote Yule kati ya Spurs au Newcastle atakaeshinda ktk Nusu fainali Itakua pouwa sn.
Naombea na huyu Mark Clattenburg wamuondoe kabisa kuchezesha EPL,ana fitna sana na sisi
Nakubaliana kabisa na wewe so far Chelsea ina core ya wachezaji 5 ambao ndio wanaibeba timu (JT,Cahill,Matic,Cesc na Hazard) watapata taabu sana kama hao wachezaji watakuja kupata majeruhi.Then wameonyesha udhaifu wakicheza pungufu nakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ngumu sana kumfunga Morinyo akiwa pungufu,Mourinho ni master wa big match watu wengi wanafikiri Chelsea itafungwa na hizi timu kubwa (Man City,City,Arsenal,Liverpool) sioni dalili ya kufungwa na hizo team kwa sasa but timu inayoweza kuwafunga Chelsea ni kama Newcastle,WestHam au SouthamptonWell said Mkuu
Chelsea hii ina top performers wasiozidi watano, JT, Matic, Fabregas, Hazard na Costa......imagine siku Chelsea iwe na majeruhi kwenye beki yake kama waliyonayo Man United, say JT, Brana na Cahill wawe majeruhi, watacheza kama wanavyocheza na kupata same results?
Ndio maana na mimi nilimkatalia Ntuzu hapo juu kuhusu kumaliza msimu bila kufungwa, hivi how do you replace Matic? Halafu Mourinho anacheza mchezo ambao kwa kiasi kikubwa anaamrishwa na uongozi wa Club kuutumia, siyo vile ambavyo yeye binafsi angecheza kama angekua na maamuzi 100% on how to play, kwa maana hiyo JM anatumia mfumo asioujua vizuri na asiouamini completely.
Na hii ni weakness ambayo akikutana na team zitakachocheza counter attack football kama West Ham na New Castle, maswali mengi sana yataulizwa kuhusiana na hii so called 'invincible' Chelsea ya Ntuzu
Nakubaliana kabisa na wewe so far Chelsea ina core ya wachezaji 5 ambao ndio wanaibeba timu (JT,Cahill,Matic,Cesc na Hazard) watapata taabu sana kama hao wachezaji watakuja kupata majeruhi.Then wameonyesha udhaifu wakicheza pungufu nakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ngumu sana kumfunga Morinyo akiwa pungufu,Mourinho ni master wa big match watu wengi wanafikiri Chelsea itafungwa na hizi timu kubwa (Man City,City,Arsenal,Liverpool) sioni dalili ya kufungwa na hizo team kwa sasa but timu inayoweza kuwafunga Chelsea ni kama Newcastle,WestHam au Southampton
Kwani legend lazima awe wa wazamani au mkongwe????legend wa Barcelona ni NANI??
Hatuna....! Kwani hiyo ni hoja ya msingi? Na sio km Hatuna nimekujibu hivyo nione utasemaje...!
Yohan Cruyff-Barca FC
De Stefano-Madrid
Ferenc Puskas-Madrid
Kevin Keagan-Liverpool
Denis Law-Man United
Thiery Henry-Arsenal
Nani legends haswa wa Chelsea ambaye kajengewa na yy mnara wake
Nakubaliana kabisa na wewe so far Chelsea ina core ya wachezaji 5 ambao ndio wanaibeba timu (JT,Cahill,Matic,Cesc na Hazard) watapata taabu sana kama hao wachezaji watakuja kupata majeruhi.Then wameonyesha udhaifu wakicheza pungufu nakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ngumu sana kumfunga Morinyo akiwa pungufu,Mourinho ni master wa big match watu wengi wanafikiri Chelsea itafungwa na hizi timu kubwa (Man City,City,Arsenal,Liverpool) sioni dalili ya kufungwa na hizo team kwa sasa but timu inayoweza kuwafunga Chelsea ni kama Newcastle,WestHam au Southampton
Soma kwanza uelewe ndio ujibuKwani CHELSEA FC imefungwa mechi gani?