Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Jamaa kanifurahisha kwa kujaribu kushare alichonacho na nduguze. Keep the good spirit Didier.
 
Kwenye mechi ya Chelsea na Man utd kuna jamaa alionekana akipiga mswaki wakati mechi inaendelea! Alikuwa anaimanisha kitu gani?

 
Kwenye mechi ya Chelsea na Man utd kuna jamaa alionekana akipiga mswaki wakati mechi inaendelea! Alikuwa anaimanisha kitu gani?


Huyu jamaa kwa kweli alikuwa anaudhi, alikaa nyuma ya benchi wa reserve players akijua kamera zitamnasa, hawa ndio wale wajingawajinga wanaopenda attention na ukimuangalia anakuwa rude! "Ooi respekt mi yardie or me gonna smash ya batty bwoy all pon de river! respekt rudebway" kwanza ilikuwa kiza iyo mechi sijui aliangaliaje na miwani hii? ndio Chelski chavs hao!!!
 

Miafrica ndo Ilivyo...
 
EPL Chelsea vs Wolverhampton W. updates 21-11-2009

Guys keep us updated!
 
usikonde mwana, utapata updates za hapo darajani
 
Dakika ya 35 Anifield
Liverpool 0 Man City 0
 
Chelsea 2 Wolves 0
Leo mtashinda hata 7
 
3 bila takika ya 25,wafungaji malouda na essien 2
 
Wadau tumeisha wachana Wolves Matatu kupitia kwa Essien mawili na Malouda moja leo point tatu mapemaa tumejihakikishia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…