bold hahahaha ............ huyo bado sana! hata huyo muller huwezi ukamfananisha na hazard coz huyo anajua kufunga tu hana kingine! timu ikizidiwa hawez ku2mia juhudi binafsi. Nasri zamani! kidogo ungesema Roben ungeeleweka.
2kiachana na messi na cR7,unafikir wanaofuatia kw kudribo na kukusanya kijiji wanafuatia akina nani?! ....... kama siyo haz10 basi roben!
Grabd PA
Kama wewe leo unakuwa kocha kati ya Hazard na Luis Diaz Suarez unamchagua nani?
Naapia ukimchagua Hazard management inakufukuza kazi jioni hiyo hiyo kwa hasira!
Hazard bado sana hamfikii hata Di Maria Angel!Utamchagua Hazard umuache Di Maria?
Karibu sn mkuu Malafyale jisikie huru kutoa maoni yako kadri uwezavyo. Tunajisikia faraja kitembelewa na wageni humu kwetu!
Maoni yako nimeyapokea ninayafanyia Kz na ili uje ufahamu kua Hazard ni kiboko Zaidi ya hao uliowataja, subiri tukutane na hizo timu km Man Utd uone km Di Maria au Hazard nani atawika? Majibu na vitendo uwanjani mkuu!
Mkuu agosti 8 nafurahi kusikia hivyo! Ni kweli Di Matteo ni nguli sn na pia anafahamu vzr farisafa ya Chelsea Fc! Sasa Hapo ni uzoefu wa wachezaji na ubora wao Ndio unaotakiwa na pia uwezo wa kocha na mbinu zake bora Ndio zitaamua nani mshindi!
Kama wewe leo unakuwa kocha kati ya Hazard na Luis Diaz Suarez unamchagua nani?
Naapia ukimchagua Hazard management inakufukuza kazi jioni hiyo hiyo kwa hasira!
Hazard bado sana hamfikii hata Di Maria Angel!Utamchagua Hazard umuache Di Maria?
Chelsea kama chumba cha sindano anaingia m2 anachomwa sindano anatoka anaingia mwingine! mmoja mmoja ndio mpango! ............ kushabikia chels raha sana, au unasemaje? mkuu WISE 2012jmos lazima afe myama (MAN U) namuuaji ni.yule yule anayeua kila sehemu(mourinho)
ccGrand PA
Aiseee weekend bila mpira wa maana inaboa sana
dah! inaboa kinoma noma!, mi nikishasikia kuna international break napataje hasira ..........
Grand PA
Aiseee weekend bila mpira wa maana inaboa sana
dah! inaboa kinoma noma!, mi nikishasikia kuna international break napataje hasira ..........
Grand PA
Mkuu we Acha kabisa...! Ukishinda ktk mitandao hasa ktk thread Za ndugu zetu wanakua wakali na lugha mbaya sn...! Aiseee we Acha tu...!
Aiseee weekend bila mpira wa maana inaboa sana
Mkuu we Acha kabisa...! Ukishinda ktk mitandao hasa ktk thread Za ndugu zetu wanakua wakali na lugha mbaya sn...! Aiseee we Acha tu...!
hivi lile sakata la kocha wetu kumpiga kocha wa arsenal limefikia wapi best Ntuzu ?