Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

sisi tumewafunga MAN CITY wakiwa 12..palepale sebuleni kwao. poleni nyie ambao mnategemea kucheza tu kwenu.

kazi kwenu mnafungwa fungwa ovyo. nyie mshajichokea nyie..

Zaidi ya kumuita Pellegrino hamna jipya Jose alichosema!11-11 humpati sare kwa Man City Itihad
 
Loserfool etihadi akiweka mguu anapigwa km mbwa mwizi! Chelsea hajapoteza Etihad Kwa epl wakati wa Pellegrino Sasa nani kidume?

Btw.

Kutoka Msimu uliopita mpk Huu.

Chelsea won 2 Man city 1 Stamford Blidge Epl

Man city lost 0 chelsea 1 Epl Etihad

Man City 1 and Chelsea 1 Epl Etihad

Sasa nani kidume? Poleguno Au Jose?

Mwaka wa kwanza tu Pellegrino kachukua ubingwa!Kumlinganisha Pellegrino na Jose kwa stats za EPL ni kumvunjia sana heshima kocha huyu wa Man City!

Jose is the far third succesful man in EPL 2013/14
 
Mwaka wa kwanza tu Pellegrino kachukua ubingwa!Kumlinganisha Pellegrino na Jose kwa stats za EPL ni kumvunjia sana heshima kocha huyu wa Man City!

Jose is the far third succesful man in EPL 2013/14

Ulisema kuifunga city tukiwa 11 Kwa 11 Etihad Hakuna! Nimekupa mnyumbulisho jinsi tulivyoipiga city umepoa na sasa unakumbilia makombe!

Msimu Huu tunachukua makombe mawili makubwa!

Subiri uone!
 
Arsenal watapigwa goli km 6 hivi safari hii! Tena Wenger ule ugonjwa wake wa kuanguka utamrudia!

Cc: Sizinga Piere. Fm
Tehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehtehteeeeeeeeeeeeeeeeeeh!!!!!
Yaani ndio mmeanza vimbwanga mapema hivi?? haya bhana si yetu macho na kwa uzoefu nilionao kwa wenyeji wa jukwaa hili mnapenda sana kujipa Ban.
Tehtehtehtehteh
BTW tuna mpango wa kutuma maombi upewe u-Moderator ili wenzako watakapojipiga ban utusaidie kuwafungulia.
 
Wapi Katavi Ng'wamapalala Rockycity native Ulimakafu Sizinga bandugu masanja Belo na Arsenal fans woooote! Njoo bhana tupige story wakuu!
 
Last edited by a moderator:
Ulisema kuifunga city tukiwa 11 Kwa 11 Etihad Hakuna! Nimekupa mnyumbulisho jinsi tulivyoipiga city umepoa na sasa unakumbilia makombe!

Msimu Huu tunachukua makombe mawili makubwa!

Subiri uone!

January mtatuacha Majogoo na Man City kama kawaida tupiganie ubingwa
 
Majogoo ...??

hata msimu uliopita tmu 3 zilikuwa na nafasi ya kuchukua ubngwa..

au unahitaji kukumbushwa; kwamba ni sisi ndo tulikunyima ubingwa? APRILI 27?

January mtatuacha Majogoo na Man City kama kawaida tupiganie ubingwa
 
Nimekuzidi points 9. Unachekesha kweli weye!
Hahaaa mkuu unachekesha sana, manake kipindi cha mwanzo unakuwa na mbwembwe lakini dakika za majeruhi zikiisha unakuwa kama piriton
 
Nimekuzidi points 9. Unachekesha kweli weye!

Mkuu mwaka jana ulinipita hadi points 13 kuna kipindi lkn nikakugaraza ktk accumulative points May 15!

May 15 utanishangilia wkt kombe nalipitiza Merseyside tumelivisha bendera za jogoo
 
cc. Malafyale umeishiwa sera? kwani CHELSEA FC inashirikia EPL peke yake?

huwezi kulinganisa MP na JOSE MOURINHO huo unaoleta hapa ni uchizi.

ni sawa na kumlingasha KD na BR kwenye historia ya LFC. .

CHELSEA FC timu pekee kutoka UINGEREZA iliyofikia nusu fainali ya UEFA mwaka jana.

HEAD TO HEAD .. .jose ni bora kuliko MP unayemshabikia wewe..punguza ushabiki maandazi Malafyale..{huwezi kudharau Jose kwenye jukwaa la CHESEA FC} ..
 
January mtatuacha Majogoo na Man City kama kawaida tupiganie ubingwa

Acha kujipa moyo! Nyie mmeshajifia siku nyingi, cha msingi jitahidini mchukue EUROPA ........... yaani kati ya nyie na man u! bora man u.

Mkuu mwaka jana ulinipita hadi points 13 kuna kipindi lkn nikakugaraza ktk accumulative points May 15!

May 15 utanishangilia wkt kombe nalipitiza Merseyside tumelivisha bendera za jogoo

nikukumbushe tu!" mwaka jana mlikua na mnyama suarez!" mwaka huu mpo na huyo mvuta bange .......... akijua kwnye screen anaoneshwa yeye basi anajivimbiiiisha!" hahahahaha dah! kweli bange mbaya.

Grand PA
 
Wakuu msiwe na hofu wala wasiwasi..mechi ya jumapili itakuwa nzuri sana..

Nguvu ya ARSENAL FC iko kweny kiungo.

Hata hivyo; ni viungo wapi wa ARSENAL watakaomsumbua MATIC?

je, ARSENAL wanao viungo wa kuzuia WILLIA NA HAZARD?..

je, ARSENAL wanao viungo au mabeki wa kuzuia OSCAR, SCHURRLE na DIEGO?

je, ARSENAL wanao washambuliaji wa kusumbua mabeki wetu: IVANOVIC, TERRY, CAHILL na AZPILICUETA?

je, ARSENAL wanaweza kupiga mashuti ya kumsumbua kipa wetu THIBAUT COURTOIS?

je, ARSENAL wanaweza kucheza dakika 90 bila kuchoka?? je, wanayo CHARACTER ya kushinda mechi ya jumapili?

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
mkuu Agosti kitakachowafanya arsenal kushindwa mziki wetu ni mambo yote uliyoyataja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom