Ahaha...Mourinho imebidi aendr kumpa mkono kipa wa Sporting. Kaokoa open goals za Oscar Matic Costa Fabregas Schurrle na Salah...yani hizo zilikuwa one on one!!!
Game over...we won...i wasnt so impressed!
Mkuu Mentor; pole; lakini kumbuka kwamba uwanja ulikuwa mbaya sana...
pia nilisema tangu mapema hapa hapa kwamba mashabiki wa Sporting walisaidia sana kuiweka timu yao mchezoni.
Alama za bingwa ni kushinda..hata kama atashinda kwa taabu. Kumbukeni wakuu kwamba kwneye kundi letu ni Chelsea Fc pekee iliyoshinda mechi..
hadi sasa msimamo uko hivi:
![]()

tuna point za kutosha mkuu
mm jana niilivyoona vile ilinibidi nizime tv yangu
maana niliona kuwa tutakanyagwa sana
kuja kuamka leo asubuhi mkuu napewa taarifa kuwa tuko juu
nimefurahije wewe acha tu iliyobakia ni kujipanga tena
maana mbele yetu kuna hawa asernal sijui itakuwaje
Mkuu game ilikua ngumu sn ata km tumeshinda Lkn hao Wareno walicheza vzr sn na kwa nguvu sn na muda Wote walikua ktk Hali hiyo hiyo! Ni uzoefu na ubora wa wachezaji WETU umesaidia!
Na kwa msimamo huo jinsi ulivyo game itakayofata ya CL inapaswa kushinda ili tuwe ktk Hali nzuri ya kusonga atua ya 16.
tuna point za kutosha mkuu
mm jana niilivyoona vile ilinibidi nizime tv yangu
maana niliona kuwa tutakanyagwa sana
kuja kuamka leo asubuhi mkuu napewa taarifa kuwa tuko juu
nimefurahije wewe acha tu iliyobakia ni kujipanga tena
maana mbele yetu kuna hawa asernal sijui itakuwaje
Uwe na imani lady!
mbona unakuwa na imani haba?
kwanza siku hizi umelisusa jukwaa letu nini shida??:wacko:
imani ninayo ila sasa naona chelsea kama tunaingia chaka na wakati tulianza vizuri
Best sijalisusa jukwaa ni mambo kuwa mengi kiasi kwamba kuingia humu
naingia kwa kubeep sana, si unajua majukumu ya kulea bestito
kwani tumefungwa...??
hatujafungwa ,basi tu mm najikatia tamaa mapema best