Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1016705_766347440086935_9124890419074342448_n.jpg

ALL THE WAY BACK TO LONDON
 
hivi unafahamu kuwa nimeshaungana nao kabisa chelsea tena kwa damu
sasa niende wapi wakati chelsea iko moyoni kuliko vyote bestito

hata ije radi, mvua za masika, au joto kali siwezi hama chelsea kwa vyovyote vile
ungekuwa mshabiki wa MAN UTD ungekuwa umeshakonda ama?

maana hao majanga kila kukicha..

sisi ndo timu yenye starehe zaidi UINGEREZA nzima..ukishindwa hapa utaweza wapi Lady?
 
Last edited by a moderator:
Naona safari hii timu za London ndio vidume UEFA, hongereni sana majirani zetu kwa ushindi wa jana. Njooni kesho kutwa pale darajani tuwaoneshe kabumbu la maana, kuanzia striker hadi beki wote wanatupia. Mbona kazi mtakuwa nayo tu ya maana!!
Wapi Ntuzu, agosti 8, Mentor, ladyfurahia etc?
njoeni huku tuichambue mechi hii ya Londoners kama tulivoichambua ya Lisbon.
 
Diego Costa has been named the PFA Fan Player of the Month for September.

The 25-year-old has been rewarded for an impressive start to his time at Stamford Bridge.

Diego Costa has scored eight goals for the Blues this season, four of which came during last month.

The striker’s hat-trick inspired us to a 4-2 home win over Swansea City, and he was also on target, with a well-taken header, in our 3-0 win against Aston Villa.

The Spain international also won the Barclays Premier League Player of the Month award in August.

The PFA Fan Player of the Month awards powered by FTBpro, are designed to give a strong voice to the supporters who are the lifeblood of the game. The awards are endorsed by the players and supported by the clubs.

One lucky fan voter will be chosen to present Diego Costa with the PFA Fan Player of the Month award in person later this month.
 
hatujafungwa ,basi tu mm najikatia tamaa mapema best

Jikatie tu tamaa mapema dada yangu hasa kama hauna moyo wa chuma!

Hawa kaka zako akina Ntuzu na agosti 8 wao wameisha zoea;huwa Chelsea wanaanza ligi hivi hivi kwa kishindo lkn huwa wa 3 ikifika May 15

By the way pls Jumapili tunahitaji tuone soka sio BUS pale darajani ehehehehe
 
Attachments

  • 1412294403918.jpg
    1412294403918.jpg
    74.6 KB · Views: 76
Last edited by a moderator:
Mkuu mi nipo Na j2 Ndio hiyo imekaribia tuwapie Arsenal!

Naona safari hii timu za London ndio vidume UEFA, hongereni sana majirani zetu kwa ushindi wa jana. Njooni kesho kutwa pale darajani tuwaoneshe kabumbu la maana, kuanzia striker hadi beki wote wanatupia. Mbona kazi mtakuwa nayo tu ya maana!!
Wapi Ntuzu, agosti 8, Mentor, ladyfurahia etc?
njoeni huku tuichambue mechi hii ya Londoners kama tulivoichambua ya Lisbon.
 
Wakuu msiwe na hofu wala wasiwasi..mechi ya jumapili itakuwa nzuri sana..

Nguvu ya ARSENAL FC iko kweny kiungo.

Hata hivyo; ni viungo wapi wa ARSENAL watakaomsumbua MATIC?

je, ARSENAL wanao viungo wa kuzuia WILLIA NA HAZARD?..

je, ARSENAL wanao viungo au mabeki wa kuzuia OSCAR, SCHURRLE na DIEGO?

je, ARSENAL wanao washambuliaji wa kusumbua mabeki wetu: IVANOVIC, TERRY, CAHILL na AZPILICUETA?

je, ARSENAL wanaweza kupiga mashuti ya kumsumbua kipa wetu THIBAUT COURTOIS?

je, ARSENAL wanaweza kucheza dakika 90 bila kuchoka?? je, wanayo CHARACTER ya kushinda mechi ya jumapili?

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
 
Hatukupaki bus etihad majuzi tuje tupaki kwetu tena dhidi ya timu km Arsenal?

We tulia tu uone Malafyale

Jikatie tu tamaa mapema dada yangu hasa kama hauna moyo wa chuma!

Hawa kaka zako akina Ntuzu na agosti 8 wao wameisha zoea;huwa Chelsea wanaanza ligi hivi hivi kwa kishindo lkn huwa wa 3 ikifika May 15

By the way pls Jumapili tunahitaji tuone soka sio BUS pale darajani ehehehehe
 
Last edited by a moderator:
Arsenal watapigwa goli km 6 hivi safari hii! Tena Wenger ule ugonjwa wake wa kuanguka utamrudia!

Cc: Sizinga Piere. Fm

Wakuu msiwe na hofu wala wasiwasi..mechi ya jumapili itakuwa nzuri sana..

Nguvu ya ARSENAL FC iko kweny kiungo.

Hata hivyo; ni viungo wapi wa ARSENAL watakaomsumbua MATIC?

je, ARSENAL wanao viungo wa kuzuia WILLIA NA HAZARD?..

je, ARSENAL wanao viungo au mabeki wa kuzuia OSCAR, SCHURRLE na DIEGO?

je, ARSENAL wanao washambuliaji wa kusumbua mabeki wetu: IVANOVIC, TERRY, CAHILL na AZPILICUETA?

je, ARSENAL wanaweza kupiga mashuti ya kumsumbua kipa wetu THIBAUT COURTOIS?

je, ARSENAL wanaweza kucheza dakika 90 bila kuchoka?? je, wanayo CHARACTER ya kushinda mechi ya jumapili?

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
 
Last edited by a moderator:
Willian Aanze Jpil na Oscar, Hazard
MissM4C karibu sana,
Mechi ya Arsenal ni Ngumu lakini sio kama ya ilivyokuwa ya Man City
Uzuri wa Arsenal huwaga unaonekana mwanzo wa Mchazo (first 15min) na mwisho wa mchezo (75min), lakini katikati ya mchezo huwa wanakosa Concentration na huwa wako frustarted sana,

Hawana Beki imara sana na foward yao inakabika kirahisi tu, kwenye midfield wanawachezaji wazuri sema wako legelege hivyo kimpira wanaweza kuwa sawa na The Blues ila watazidiwa nguvu na kina Matic, Fabregas na Mikel akiingia kama sub

Sijuhi nina feeling gani lakini binafsi ningependa William aanzie nje na Schulle, mwanzo waanze Oscer, Hazard na Mo Salah

Bado naamini Schulle ni mzuri sana akitokea Benchi na William anauwezo wa Ku hold mipira, Hivyo 75min za mwisho Arsenal wakiamka Mou anapaswa Kuwaingiza Schulle na Willaim kuneutralize speed ya Arsenal.

itakuwa Mechi nzuri na Fabregas ndio atachangamsha mechi na ushabiki pale London,

Chelsea itashinda sio chini ya Goli Tatu
 
Last edited by a moderator:
Jikatie tu tamaa mapema dada yangu hasa kama hauna moyo wa chuma!

Hawa kaka zako akina Ntuzu na agosti 8 wao wameisha zoea;huwa Chelsea wanaanza ligi hivi hivi kwa kishindo lkn huwa wa 3 ikifika May 15

By the way pls Jumapili tunahitaji tuone soka sio BUS pale darajani ehehehehe

Sasa kama unaikashfu Chelsea ni timu gani uisifie england ?
 
Last edited by a moderator:
Zaidi ya kumuita Pellegrino hamna jipya Jose alichosema!11-11 humpati sare kwa Man City Itihad

Kesho si mbali ndugu ila baada ya mechi hatutaki ulete visababu kwamba tulikuwa hivi sijui nini.
Najua tutawapiga magoli yasiyopungua manne.
 
Zaidi ya kumuita Pellegrino hamna jipya Jose alichosema!11-11 humpati sare kwa Man City Itihad

Loserfool etihadi akiweka mguu anapigwa km mbwa mwizi! Chelsea hajapoteza Etihad Kwa epl wakati wa Pellegrino Sasa nani kidume?

Btw.

Kutoka Msimu uliopita mpk Huu.

Chelsea won 2 Man city 1 Stamford Blidge Epl

Man city lost 0 chelsea 1 Epl Etihad

Man City 1 and Chelsea 1 Epl Etihad

Sasa nani kidume? Poleguno Au Jose?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom