ha haah mkuu Rockcity native umepotea sana mkuu; nini shida??:A S-eek:
any way karibu sana mkuu..:wacko:
sisi wazima wa afya..kama kawaida juu kabisa ya ligi. GD 12, mfungaji wetu DIEGO COSTA # 19 anakusudia kufikisha goli 10 kwenye mechi ijayo..
kuhusu kumfikia Eidur # 22 nadhani mambo ya Eden Hazard ni balaa sana..
pili Eidur alikuwa anacheza kama Center-forward; ilhali kijana Eden Hazard anacheza kama msaidizi wa mshambuliaji..namaanisha "the number 10 role"
:spit:

hahah haya bhana, ila hajafikia kiwango cha Eidur Gudjohnson