Mechi ijayo na Arsenal natamani Mou apange kikosi hiki hiki tulichocheza nacho vs Aston Villa.
Ila vyovyote vile Oscar asikosekane. Willian amejipa pass ya kuanza first eleven.
Ramires yupo nje bado hatocheza mechi hiyo mpaka baada ya international break.
Schurrle ataingia kuongezea tu magoli dk ya 75 hivi.
Magoli si chini ya manne....chelsea >=4 Arsenal 0
Mkuu mentor katika ubora wake wa juu.:wacko: