Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Some Chelsea statistics (courtesy of OptaJoe):

1066 - Chelsea have now won 1066 home games in league football. Battlers.

8 - Diego Costa has scored eight goals in his first six PL appearances; Micky Quinn (10) is the only player to score more. Rampant.

32/8 - Chelsea have fired in the most shots on target (32) in the Premierleague while Aston Villa (8) have attempted the fewest. Contrast.
 
Last edited by a moderator:
Mentor Ntuzu agosti 8

Kuna tetesi nimesoma website inaitwa mirrow football kuwa summer Chelsea wanataka kumleta Messi kwa £118m

Messi ni mchezaji bora ..akija CHELSEA FC siyo mbaya lakini niseme kwamba SI LAZIMA wamsajili MESSI.
tunaweza kufanya vizuri uwanjani bila mtu kama MESSI. but kwa faida za Biashara ni dili zuri.

pia anaweza kung'aa mechi zote isipokuwa mechi vs Barcelona CF. By the way ni story tu..unajua waandishi wa habari!!?
 
Mkuu ligera nilikuambia utulie; si umeona faida ya kuwa mvumilivu...?? umekula mbivu eeh?

timu iko sawa kuliko unavyofikiri mkuu: watu wanacheza kwa mipango. huwezi kucheza na bingwa mtetezi kwake alaf unakimbia kimbia ovyo. utafungwa iwe balaa.

sasa mechi ya jana imetengeneza 'clean sheet' ya 2 katika mechi 6. ikumbukwe kwamba tulipata 'clean sheet' ya kwanza vs Leicester City{tuliwafunga 2-0}

sasa jana tena madogo tumewachapa 3-0.

ARSENAL FC kaeni tayari kunyolewa...:A S-eek:

big up chelsea, my best team,i was not doing mistake to select u to be my beloved team,
 
Mkuu Matic anataka kuwa Makelele wa kizungu.

jamaa anafanya kazi nzuri sana. Tena Kocha anajua timu yake vizuri. Oscar alipochoka akatolewa. Nafasi yake akachukua Fabregas, alaf Mikel obi aliingia kucheza # 8 nafasi ya Fabregas, Mikel uzuri wake ni nguvu na hapitwi kirahisi kama Maestro Fabregas.

Mikel bado ni mchezaji muhimu sana kwa Chelsea.

Matic kwenye games nyingi huwa anakuwa 'the unsung hero' ila kwa leo I think its fair kumpa Willian!!!
 
10670038_1475879349344764_3163927066760073814_n.jpg
 
ha ha aha unajua kuna umuhimu wa watu maarufu kama hawa kuangalia mechi zetu au hata kupenda timu yetu.
kuna faida kubwa nje ya uwanja.

bado tuko juu; kama tulivyoanza..ndiyo tutakavyomaliza..endeleeni kujipanga wapinzani wetu.

next mechi tunacheza na vijana wa London kaskazini..next w/end. MKuu Osokonoi karibu jisikie upo CHELSEA FC THREAD. Mosdef hajambo?

Sidhani kama mnahitaji kumsajili Samwel Jackson...:A S wink:
 
Mkuu ligera nilikuambia utulie; si umeona faida ya kuwa mvumilivu...?? umekula mbivu eeh?

timu iko sawa kuliko unavyofikiri mkuu: watu wanacheza kwa mipango. huwezi kucheza na bingwa mtetezi kwake alaf unakimbia kimbia ovyo. utafungwa iwe balaa.

sasa mechi ya jana imetengeneza 'clean sheet' ya 2 katika mechi 6. ikumbukwe kwamba tulipata 'clean sheet' ya kwanza vs Leicester City{tuliwafunga 2-0}

sasa jana tena madogo tumewachapa 3-0.

ARSENAL FC kaeni tayari kunyolewa...:A S-eek:

Nawasubiri kwa hamu sn hawa Arsenal! Ngoja tutoke Ureno keshokutwa kuanzia J5 tuanze mikakati ya kuwapiga Arsenal!
 
Beki wa kushoto anayetumia mguu wa kulia.
mchezaji bora wa wachezaji msimu uliopita.

mchezaji mwenye juhudi kubwa na nidhamu ya mchezo. huwezi kumpiga chenga mara mbili. anang'ang'ania kama siafu.

well done Cesar 'Dave' Azpilicueta. # 28

Cesar Azpilicueta giving a quick pre-match interview...

@CesarAzpi: 'We know it’s going to be very difficult so we have to be at our best. We play at home and have to start well. We’ve won four games and drew at Man City but that’s the past and now we just need to focus on this game.' #CFC
 
Kweli kabisa; akili sasa imehamia URENO..kwa SPORTING LISBON.

hapo lazima patachimbika kwa sababu hadi sasa hakuna aliyeshinda. Timu zote kwenye kundi zina pointi 1.

hatari sana hii. lakini iwe iwavyo. tutavuka hatua za makundi.

ARSENAL wajiandae kwa mtanange mzito pale pale kwao.

Nawasubiri kwa hamu sn hawa Arsenal! Ngoja tutoke Ureno keshokutwa kuanzia J5 tuanze mikakati ya kuwapiga Arsenal!
 
Mkuu Matic anataka kuwa Makelele wa kizungu.

jamaa anafanya kazi nzuri sana. Tena Kocha anajua timu yake vizuri. Oscar alipochoka akatolewa. Nafasi yake akachukua Fabregas, alaf Mikel obi aliingia kucheza # 8 nafasi ya Fabregas, Mikel uzuri wake ni nguvu na hapitwi kirahisi kama Maestro Fabregas.

Mikel bado ni mchezaji muhimu sana kwa Chelsea.

Kocha anawafahamu wachzaji wake vzr sn!
 
wakuu ngoja nitoke kidogo; nipate chai alaf kuna mambo ya muhimu naweka sawa.
baadaye jamani.

cc. Ntuzu, Mentor, Viol, chilumbendo, MEANDU, FUSO, na wengine wote wa CHELSEA FC.:hungry:
 
FABREGAS mtaalamu wa pasi na kupandisha timu. MIKEL yeye ni mtu anayekaba vizuri na kuzuia wachezaji hasa wenye nguvu.

MATIC naye ni kama Fabregas lakin tofauti yeye hana mbio. na tena hapendi kupanda sana mbele. Matic anapocheza timu inakuwa haina kasi sana.

lakini akicheza RAMIRES utashangaa..mbio mwanzo mwisho; tena awepo na yule Mwanariadha kutoka Ujerumani. Andre Schurrle balaa ni mbio tu. mbio tu.:A S-eek:

Kocha anawafahamu wachzaji wake vzr sn!
 
Kweli kabisa; akili sasa imehamia URENO..kwa SPORTING LISBON.

hapo lazima patachimbika kwa sababu hadi sasa hakuna aliyeshinda. Timu zote kwenye kundi zina pointi 1.

hatari sana hii. lakini iwe iwavyo. tutavuka hatua za makundi.

ARSENAL wajiandae kwa mtanange mzito pale pale kwao.

Mkuu hii game yetu Na Arsenal Nafikiri itakua kwetu Darajani, Ngoja niangalie vzr maana nakumbuka ktk Big Game ni Arsenal tu Ndio watakao kuja kwetu ktk Huu mzunguko wa kwanza!
 
FABREGAS mtaalamu wa pasi na kupandisha timu. MIKEL yeye ni mtu anayekaba vizuri na kuzuia wachezaji hasa wenye nguvu.

MATIC naye ni kama Fabregas lakin tofauti yeye hana mbio. na tena hapendi kupanda sana mbele. Matic anapocheza timu inakuwa haina kasi sana.

lakini akicheza RAMIRES utashangaa..mbio mwanzo mwisho; tena awepo na yule Mwanariadha kutoka Ujerumani. Andre Schurrle balaa ni mbio tu. mbio tu.:A S-eek:

Hahahaaaa!

Namuombea sn Ramires game ya Arsenal awe ameshapona ili awakimbize sn!
 
Mkuu hii game yetu Na Arsenal Nafikiri itakua kwetu Darajani, Ngoja niangalie vzr maana nakumbuka ktk Big Game ni Arsenal tu Ndio watakao kuja kwetu!

Mechi ijayo na Arsenal natamani Mou apange kikosi hiki hiki tulichocheza nacho vs Aston Villa.

Ila vyovyote vile Oscar asikosekane. Willian amejipa pass ya kuanza first eleven.

Ramires yupo nje bado hatocheza mechi hiyo mpaka baada ya international break.

Schurrle ataingia kuongezea tu magoli dk ya 75 hivi.

Magoli si chini ya manne....chelsea >=4 Arsenal 0
 
Ni kweli mkuu kikosi ni kizuri Lkn Ngoja kwanza tutoke Ureno tuone km wachezaji Wote watakua salama na pia unafahamu hii game ya huko Ureno inatupasa tushinde ili kujiweka ktk nafasi nzuri ya kufuzu hatua ingine! Kwahiyo lazima kipangwe kikosi kazi kweli km cha Jana!

Kwahiyo Jumatano tutaona wachezaji km Hakuna majeruhi!
 
faida ya OSCAR kucheza namba 10 timu inakuwa imara. FABREGAS anamudu vema nafasi ya namba 8 pia.

kweli jana timu ilikuwa na kikosi kizuri; HAZARD moto wa kuotea mbali, WILLIAN naye kama kawaida mbio na chenga za maudhi.

ANDRE SCHURRLE ni kiumbe tofauti kabisa; yeye anacheza yote; kama winga, kama mshambuliaji vyote vyote.
unapokuwa na Costa na Schurrle kwenye mechi moja maana yake unakuwa na washambuliaji wawili.

ARSENAL FC wajiandae.

Ni kweli mkuu kikosi ni kizuri Lkn Ngoja kwanza tutoke Ureno tuone km wachezaji Wote watakua salama na pia unafahamu hii game ya huko Ureno inatupasa tushinde ili kujiweka ktk nafasi nzuri ya kufuzu hatua ingine! Kwahiyo lazima kipangwe kikosi kazi kweli km cha Jana!

Kwahiyo Jumatano tutaona wachezaji km Hakuna majeruhi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom