Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Thanks God for being Chelsea's fan today 🙂

Wow! What a game 🙂
 
ngoma imelala....1-0, chelsea oyeeeeeeeeeeee!!!!
 
haya wazee wazima wamekubali tena ingawaje leo Chelsea wamesafa ile mbaya....kweli ManU ni timu ya kuogopewa
 
haya wazee wazima wamekubali tena ingawaje leo Chelsea wamesafa ile mbaya....kweli ManU ni timu ya kuogopewa
Mnajipa moyo eh? Hahahaha, mwaka huu imekula kwenu mkuu... L'pool imewazamisha, Chelsea imewalaza & Arsenal....?
 
Tumeishaondoka na zetu 3 zinatutosha kwa leo..
 
haya wazee wazima wamekubali tena ingawaje leo Chelsea wamesafa ile mbaya....kweli ManU ni timu ya kuogopewa

Mpira magoli kaka..Hayo mengine ni yale ya 'japo watufunga lakini chenga twawala'..Chelsea ndo timu ya kuogopewa aisee na si hao Man utd
 
Vijana kazi nzuri ila game ilikuwa tait kiukweli Man U walikuwa vizuri sana leo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…