Kombe la LIGI - Kutana na Kikosi chenye sura mpya leo dhidi ya Bolton:
Wapenzi wa Chelsea unganeni na mimi leo kushuhudia vipaji vipya ndani ya Club yetu ya Chelsea ambavyo havikupata muda zaidi ndani ya uwanja wenye hizo games 6 tulizocheza ili kuonyesha ujuzi.
Haya tena, Leo hii kama mnavyojua wachezaji wengi waliocheza zaidi watapumzishwa na sura mpya hasa za vijana kuchukua nafasi. Ni Muda mzuri mno kumwona tena Kipa Mkongwe Petr Cech na Kiungo mkabaji Michael Obi Kuongoza timu.
Kikosi kinaweza kupangwa hivi:
- Petr Cech
- Branislav Ivanovic
- Nathan Ake
- Kurt Zouma
- Filipe Luis
- Andreas Christensen
- John Mikel Obi
- Mohamed Salah
- Oscar
- Loic Remy / Drogba
- Andre Schurrle
Kwenye Bechi kunaweza kuwa na sura hizi pia
Mark Schwarzer
Drogba
Gary Cahill
Lewis Baker
Willian
Wachezaji watakaopumzika kabisa leo:
Thibaut Courtois
John Terry
Cesar Azpilicueta
Ramires (Majeruhi)
Cesc Fabregas
Eden Hazard
Nemanja Matic
Diego Costa
Kwa hiyo tutegemee 8 to 9 changes toka kile kikosi chetu cha kawaida kutoka kwa Kocha Mkongwe na mwenye mbinu nyingi José Mourinho
Kama nitakuwa nimekosema upangaji wa kikosi basi itakuwa kwa kiasi kidogo sana, ni na uhakika 80% kikosi hiki ndicho kitakachoanza leo usiku. Mtanikubali tu mkicheki na kikosi atakachopanga leo Kocha wetu.
Chelsea for Life!! Chelsea inatupatia raha msimu huu.
Hii mechi saa ngapi mkuu?
ndio yale yaleee mpaka Toress akakosa comfidence .........1. Felipe Luis ameonyesha level yake ni juu ya Capital One he needs more practice na attacking mids + srikera ili waweze cheza one two bila kupotezana.
2. Back line was good...perfect. Zouma has proved ready to relieve Terry of his duties
3. Ake pia kacheza poa sana...very relaxed and composed
4. Shida yangu ilikuwa kwa attacking mid...wanamnyima mipira striker yani. Wanataka kufunga wao tu.
5. Shurrle leo kacheza kama nani kwani? Kama ilikuwa 4-4-2 apo sawa ila kama ni 4-2-3-1 basi kamnyima shining tym bwana Remy.
The game was supposed to have more goals kama mids wasingetaka kufunga wenyewe
ndio yale yaleee mpaka Toress akakosa comfidence .........
Grand PA
1. Felipe Luis ameonyesha level yake ni juu ya Capital One he needs more practice na attacking mids + srikera ili waweze cheza one two bila kupotezana.
2. Back line was good...perfect. Zouma has proved ready to relieve Terry of his duties
3. Ake pia kacheza poa sana...very relaxed and composed
4. Shida yangu ilikuwa kwa attacking mid...wanamnyima mipira striker yani. Wanataka kufunga wao tu.
5. Shurrle leo kacheza kama nani kwani? Kama ilikuwa 4-4-2 apo sawa ila kama ni 4-2-3-1 basi kamnyima shining tym bwana Remy.
The game was supposed to have more goals kama mids wasingetaka kufunga wenyewe
torres mbovu tu. mbona Costa anafunga magoli mengi tu.
shida iliyopo anapocheza Mikel na Schurrle kwenye mechi moja. Schurrle anapenda kuwa na 'free-role'..na Mikel ni mzuri kwenye kuweka Stability na shape ya timu; lakini hapandishi timu vizuri kama anavyofanya fabregas au Ramires..
siyo mbaya so far so good.
CHELSEA FC IN ALL COMPETITIONS.
ALL GAMES = 7.
WIN = 5.
DRAW = 2.
LOST = O.
CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
Anafunga coz wanamchezesha!" sio kama jana schurrle kila akipata anataka kufunga mwenyewe, kujaribu kupo ila siyo kila saa!" .......... mpaka faulu wanagombania!"
ila walicheza vizuri 2subiri mechi inayofuata ya carling cup tuone kama atajirekebisha ........
Tottenham Hotspur v Brighton (II)
Stoke City v Southampton
Bournemouth (II) v West Bromwich Albion
Shrewsbury Town (IV) v Chelsea
Liverpool v Swansea City
MK Dons (III) v Sheffield United (III)
Manchester City v Newcastle United
Fulham (II) v Derby County (II)
Grand PA
Mkuu mimi ukitaja Torres napata kizunguzungu kabisa..bora utaje Ba.
Torres alifanya yake; lakini muda mwingi ulikuwa ni huzuni tu. Mwache ale maisha huko Italia.:wacko:
torres nadhan darajan hapakumfaa,,,any way hawa ASTON VILLA kwa kuwa walitubania msimu uloisha inabidi tuwashikishe adabu msimu huu
Hawa nakuambia watajuta kuzaliwa. Mwaka jana tuliwafunga kwetu magoli 2-1.
lakini mechi iliyofanyika kwao BIRMINGHAM iliharibiwa na maamuzi ya refa. Lakini hii ya jumamosi wataelewa tu.
tuwapige tufikishe 16.