Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

point unayo bt we are not that bad japo kweli tuwefungwa goli nyng, dogo kpa anajua na anahtaj kusoma beki zake, muda bado atakaa sawa tu, jinsi ya kuwanga bado anasoma mchezo, terry yap anazeeka na verane kasagn new contact til 2020, ila curt zouma yupo kama mbadala
 
Hoja yako ni nzuri..lakini Ross Barkley atavuruga jinsi timu inavyojipanga kwa sasa. kuhusu yeye kuwa Mwingereza nadhani na kwa kweli naamani Lewis Baker anatosha sana kuziba hilo pengo siku za usoni. Lewis Baker ni kiboko.



Lewis Baker yap umeongea neno na tayari kapandshwa 1st pamoja na nathan Ake, bt wengne 2naona ndio bt we stil need talent bora zaid
 
CHELSEA FC haihitaji kusajili mchezaji yoyote kwa sasa labda kama COSTA atavunjika miguu.

wachezaji wenye umri kama wa Barkley tunao wengi sana mkuu; tena wazuri sana kumshinda.

Gael Kakuta.
Marco Marin
Christian Atsu
Victor Moses

sasa hao ni baadhi tu ya wachezaji ambao tukiwahitaji tu; tunawarudisha kundini..wote hao wanacheza kwa mkopo.
Kwa sasa CHELSEA inawachezaji karibu 26 wanaocheza kwa mkopo kwenye ligi mbalimbali; JUZI tu kwenye Mechi ya LIVER vs BORO kulikuwa na wachezaji wa CHELSEA FC 2.

kipa wa Boro, JAMAL BLACKMAN.{ni mchezaji wa Chelsea}
hata yule beki KENNETH OMERUO.

yap najua 2nao weng sana ambao wapo onloan, Attackng middlefildrz yupo marco marin 23/4 yrz, yupo mario pasalic, yupo Van ginkel onloan to AC milan, bt haina maana kuwa 2sisajil ata kama kipaj ni kzuri, barkley ni AM au CM bora zaid kwa umri wake kumbuka, bt sijapnga 2po vzur stil
 
[h=1]Diego Costa in, Ramires out[/h]
news 38 minutes
Jose Mourinho had mixed news with regards to team selection ahead of tomorrow's game against Aston Villa, with Ramires due to miss out, but Diego Costa set to start.
Speaking ahead of our second home match in the space of a week, the manager reported he will have to do without the services of Ramires, who limped out of last Sunday's draw against Manchester City, for the next three games.
Diego Costa, however, having sat out our midweek Capital One Cup win over Bolton Wanderers, is in good shape to start against Paul Lambert's side.
'Ramires,' said Mourinho, when asked who was unavailable for the game. 'Everybody else is good.
'It's a muscular injury, he won't be able to play on Tuesday [against Sporting Lisbon] or even against Arsenal.
'He needs the two-week international break [to recover], maybe he will be back after that.
'Diego plays tomorrow and starts without problems. The question is always the same; can he finish the game and be in condition to play in Lisbon 48 hours later?
'I don't know but at the moment I'm not thinking about Sporting or the Champions League, I'm thinking about Aston Villa and the Premier League. He plays for sure, he starts the game for sure and he's in a very good condition to start.'
 
ukiwa na Ross itabidi timu ibadili jinsi ya kucheza; players wetu wa sasa wanafanana; OSCAR, HAZARD, WILLIAN, SALAH, FABREGAS..

ingawa SCHURRLE ni tofauti sana na wengine..

unakumbuka MOSES alikuwa ni talent bora sana alipokuwa WIGAN lakini alipokuja CHELSEA akawa kawaida; sasa angalau naona anaanza kurudia makali yake akiwa STOKE.

JOSE MOURINHO aliwahi kusema kwamba kucheza CHELSEA FC ni tofauti sana na kucheza timu zingine kama Everton ambazo lengo lao kuu ni kuwa weney TOP 4.

sisi malengo yetu ni makubwa sana; mchezaji anatakiwa kuwa na WINNING MENTALITY ili aweze kung'aa hapa kwetu...CHELSEA FC.



yap najua 2nao weng sana ambao wapo onloan, Attackng middlefildrz yupo marco marin 23/4 yrz, yupo mario pasalic, yupo Van ginkel onloan to AC milan, bt haina maana kuwa 2sisajil ata kama kipaj ni kzuri, barkley ni AM au CM bora zaid kwa umri wake kumbuka, bt sijapnga 2po vzur stil
 
four-blues-celebrate-fifa-15-launch.img.png
 
Ligera tulia..timu inapobadili falsafa ya kucheza lazima kuna kasoro ndogo ndogo zitajitokeza tu.

CHELSEA FC ya sasa kipaumbele ni kufunga magoli na kupandisha timu...sasa wakati timu inashambulia IVANOVIC anakuwa mbele. mara nyingi tukishambuliwa tunakuwa tayari na mabeki pungufu. ndo maana unaona kama tunafungwa magoli rahisi.

UBINGWA UKO PALE PALE..adake Thibaut au Cech UBINGWA ni agenda kuu MSIMU HUU...au imani yako ni haba?:wacko:

nimekubali maelezo yako mkuu, pamoja sana. vipi game ya kesho hamna red card
 
nimekubali maelezo yako mkuu, pamoja sana. vipi game ya kesho hamna red card

ha aha ha ha haa mkuu ligera umenikumbusha mwaka jana tulipewa red card 2 kwenye mechi na hawa madogo.
ngoja tuone leo...

lakina usiwe na hofu..CHELSEA FC kama kawaida mbele daima..
 
"I learned football in the street. I always hated losing, so I can not control myself sometimes in the field."

- Diego Costa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom