Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu mimi ukitaja Torres napata kizunguzungu kabisa..bora utaje Ba.
Torres alifanya yake; lakini muda mwingi ulikuwa ni huzuni tu. Mwache ale maisha huko Italia.:wacko:

hahahaha ........... siyo ww tu!" hata miye. mana alikua anakosa mpaka anakera.

Grand PA
 
torres-wide_2001844i.jpg
 
Ivi january unataman nani tumsajil darajan pale? Mm barkley wa everton, dogo ana 20 yrz ni muingereza, aje kuwa mrith wa lampard, mancity wanamtaka
 
Hoja yako ni nzuri..lakini Ross Barkley atavuruga jinsi timu inavyojipanga kwa sasa. kuhusu yeye kuwa Mwingereza nadhani na kwa kweli naamani Lewis Baker anatosha sana kuziba hilo pengo siku za usoni. Lewis Baker ni kiboko.

Ivi january unataman nani tumsajil darajan pale? Mm barkley wa everton, dogo ana 20 yrz ni muingereza, aje kuwa mrith wa lampard, mancity wanamtaka

CHELSEA FC haihitaji kusajili mchezaji yoyote kwa sasa labda kama COSTA atavunjika miguu.

wachezaji wenye umri kama wa Barkley tunao wengi sana mkuu; tena wazuri sana kumshinda.

Gael Kakuta.
Marco Marin
Christian Atsu
Victor Moses

sasa hao ni baadhi tu ya wachezaji ambao tukiwahitaji tu; tunawarudisha kundini..wote hao wanacheza kwa mkopo.
Kwa sasa CHELSEA inawachezaji karibu 26 wanaocheza kwa mkopo kwenye ligi mbalimbali; JUZI tu kwenye Mechi ya LIVER vs BORO kulikuwa na wachezaji wa CHELSEA FC 2.

kipa wa Boro, JAMAL BLACKMAN.{ni mchezaji wa Chelsea}
hata yule beki KENNETH OMERUO.
 
Mfahamu winga hatari Duniani - EDEN HAZARD (23)

Hazard.jpg

Eden Hazard has made 31 successful dribbles which is more than any other Premier League player this season. He is followed by Erik Lamela 16, Raheem Sterling 13, Adam Johnson 12 and Jack Wilshere 11.
 
cc. Mosdef, Pierre.Fm, Sizinga, RRONDO, ..

Mfahamu winga hatari Duniani - EDEN HAZARD (23)

Hazard.jpg

Eden Hazard has made 31 successful dribbles which is more than any other Premier League player this season. He is followed by Erik Lamela 16, Raheem Sterling 13, Adam Johnson 12 and Jack Wilshere 11.
 
'Everyone wants to play. If you don't, normally you're not happy. But when I came here, I spoke with Mourinho and I knew I'd come to Chelsea to be a champion, not to be the best left-back or best crosser or something.

'When you work with Mourinho, you have to know that the group, the collective is above the individual. I don't think about myself right now.
'The team are doing a great job. We won the first four League games and drew the fifth one. I have nothing to complain about. I have to wait for my chance and when it comes I must make sure I don't go out of the first 11.' - FILIPE LUIS # 3
 
Filipe+Luis+Chelsea+v+Bolton+Wanderers+oDybBnUWvUgl.jpg

_69418347_ivanovic_ap.jpg

CHELSEA FC vs ASTON VILLA ..Mechi ya kwanza ya ligi tulishinda 2-1. Goli la pili alifunga IVANOVIC..:A S-eek:
 
jamani nimegundua kwa nini mour alikuwa anamtaka varane , kwa hali ilivyo kwa terry sasa anahitajika mbadala wake kama varane. Na,kingine kipa arudi cech gorini huyu dogo kwa kweli ni tatizo mechi tano magori nane . kama mour atamng'ang'ania huyu dogo tutaukosa ubingwa tena, timu inafunga lakini inafungwa kizembe mno. terry na thibaut mi naona kama tatizo .kati ya magori tuliyofungwa magori 4 ni uzembe wa teli. Tujadiliane kwa pamoja safu ya ulinzi wa timu yetu.
 
A very happy birthday to Michael Ballack
 
Attachments

  • 1411729939937.jpg
    1411729939937.jpg
    101.7 KB · Views: 53
FIFA15 imetoka leo...sijui huku bongo itawasili lini officially!
 
Attachments

  • 1411729989497.jpg
    1411729989497.jpg
    103.9 KB · Views: 52
Whatever happens i just need a clean sheet tomorrow! Am dying for one please Chelsea...!!!
 
Mou siyo kocha wa makipa kumbuka!:A S-eek:

jamani nimegundua kwa nini mour alikuwa anamtaka varane , kwa hali ilivyo kwa terry sasa anahitajika mbadala wake kama varane. Na,kingine kipa arudi cech gorini huyu dogo kwa kweli ni tatizo mechi tano magori nane . kama mour atamng'ang'ania huyu dogo tutaukosa ubingwa tena, timu inafunga lakini inafungwa kizembe mno. terry na thibaut mi naona kama tatizo .kati ya magori tuliyofungwa magori 4 ni uzembe wa teli. Tujadiliane kwa pamoja safu ya ulinzi wa timu yetu.
 
jamani nimegundua kwa nini mour alikuwa anamtaka varane , kwa hali ilivyo kwa terry sasa anahitajika mbadala wake kama varane. Na,kingine kipa arudi cech gorini huyu dogo kwa kweli ni tatizo mechi tano magori nane . kama mour atamng'ang'ania huyu dogo tutaukosa ubingwa tena, timu inafunga lakini inafungwa kizembe mno. terry na thibaut mi naona kama tatizo .kati ya magori tuliyofungwa magori 4 ni uzembe wa teli. Tujadiliane kwa pamoja safu ya ulinzi wa timu yetu.

Ligera tulia..timu inapobadili falsafa ya kucheza lazima kuna kasoro ndogo ndogo zitajitokeza tu.

CHELSEA FC ya sasa kipaumbele ni kufunga magoli na kupandisha timu...sasa wakati timu inashambulia IVANOVIC anakuwa mbele. mara nyingi tukishambuliwa tunakuwa tayari na mabeki pungufu. ndo maana unaona kama tunafungwa magoli rahisi.

UBINGWA UKO PALE PALE..adake Thibaut au Cech UBINGWA ni agenda kuu MSIMU HUU...au imani yako ni haba?:wacko:
 
Cech atarudi tu golini, lakini haimaanishi kwamba akirudi hatutaruhusu magoli..jambo la msingi ni kwamba tumebadilika jinsi tunavyocheza mpira.

ndo maana katika hizo mechi 5 unazosema tayari tumefunga magoli 16. ingawa tumefungwa 7.
*Cech alidaka juzi vs Bolton naye akaruhusu goli 1.

jamani nimegundua kwa nini mour alikuwa anamtaka varane , kwa hali ilivyo kwa terry sasa anahitajika mbadala wake kama varane. Na,kingine kipa arudi cech gorini huyu dogo kwa kweli ni tatizo mechi tano magori nane . kama mour atamng'ang'ania huyu dogo tutaukosa ubingwa tena, timu inafunga lakini inafungwa kizembe mno. terry na thibaut mi naona kama tatizo .kati ya magori tuliyofungwa magori 4 ni uzembe wa teli. Tujadiliane kwa pamoja safu ya ulinzi wa timu yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom