Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahaha naona washabiki wa Chelsea wameanza kutokea in droves.
 
Dah,

Dakika ya 87, Man U wanashambulia kwa kasi goli la Chelsea...

Chelsea 1 - 0 Man U
 
Jamani mie naenda kulala,presha inapanda na kushuka.
 
Eh,

Dakika 5 zilizoongezwa ni fursa ya Man U...

Gaaddeeeem!!!!...Wameshaanza zao baada ya kulinywa.
Mungu atakua nasi leo.Kem subiri muone

Leo lazima afungwe mtu tu...hapatoshi hapa nilipo.
Shukran Invii kwa updates.
 
Chelsea 1 ManU 0, goli limefungwa na Terry
 
Ishakuwa noma hii duh!! naona hadi Ab Tichaz naye amerudi hehehe!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…