Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

itakuwa mechi ngumu,

City wazuri kwenye ushambuliaji, yaani wana option Nyingi, sio wazuri katikati kwa sasa, Captain Toure Keshachoka sana, sidhani kama atawaeza mikikimikiki ya akina Ramires, Fabregas,
ile Beki yakina Kompany nayo inatepeta mapema hasa ikikutana na wakimbiaji na wasumbufu kama Hazard, William,

Nadhani City wanaweza kuja na Option ya kurusha mipira, yaani iwe inachezwa nyumba na Mbele ili hapo kati Chelsea wasiwe na uwezo wa Kutawala, na pia watakuwa na hope ya stikers wao kuwa wanaweza kuisumbua Beki ya Chelsea ambayo ianaonekana kama inasuasua

Kwa upande wa Chelsea leo mpira utachezwa sana katikati na mbele sana, na nia hasa itakuwa kuwachosha wakina Toure (Midfiled) na Kompany (Beki)

Panaweza kuwa na Kadi nyekundu leo kwa aidha Toure, Zabaleta au Kompany

Mkuu Kituko yametimia kadi nyekundu Kwa Zabaleta!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom