Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Manchester City: Hart; Zabaleta, Mangala, Kompany, Kolarov; Milner, Toure, Fernandinho, Silva; Aguero; Dzeko.
Subs: Sagna, Demichelis, Clichy, Lampard, Nasri, Navas.

Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry (c), Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian, Fabregas, Hazard, Costa.
Subs: Cech, Filipe Luis, Mikel, Oscar, Schuerrle, Remy, Drogba.
 
Ndo vikosi hivyo vya leo pale Etihad
 
......mnajitetea sana, mmpeigwa mkono!!!!

ImageUploadedByJamiiForums1411310879.753264.jpg

What a Come back by Leicester City, dahhh!!!!

Mk Dons hawakuwabahatisha nyie
 
Manchester City: Hart; Zabaleta, Mangala, Kompany, Kolarov; Milner, Toure, Fernandinho, Silva; Aguero; Dzeko.
Subs: Sagna, Demichelis, Clichy, Lampard, Nasri, Navas.

Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry (c), Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian, Fabregas, Hazard, Costa.
Subs: Cech, Filipe Luis, Mikel, Oscar, Schuerrle, Remy, Drogba.

Mkuu kunguru mjanja umeona kikosi kilovyopangwa? Hiki Ndio kikosi ambacho ata Mimi nilipanga hapo nyuma na Kwa maana hiyo tunashambulia sn Leo!

Alafu angalia Kwa Man City! Hua hawana kawaida ya kupanga viungo watatu katikati Lkn Kwa kuhofia
Mziki wa Chelsea wamemuweka Toure na Milner na Fenandinho yote hii ni kupata uimara ktk kuwazuia Chelsea!
Alafu Kule mbele wamepunguza nguvu! Maana Mara nyingi utamkuta Silva na Nasri na Dzeko na Aguero Lkn Leo wamefanya mabadiliko!
 
Last edited by a moderator:

Nimeona mkuu Ntuzu hawa jamaa wanataka kushinda hii game leo...ndo maana wameanza na forward wawili...
Ila hawataweza ushindi ni wetu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom