Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

nawaombeeni dua mbaya leo manaake ishakua kero humu kushinda mechi 4 za epl kama vile ndio tayari mshachukua ubingwa hakuna cha custard wala lizard leo mnalala

Chelsea fc ndio timu imara kwa England mtake msitake!

Angalieni matokeo ya Jana ya CL kwa timu za EPL Alafu uje uringanishe na ya Leo uone kz!

Mtasema sn Lkn ukweli utabaki pale pale!
 
hamna kocha wa man utd anaetaka ku-win EUROPA CUP....watashinda kwa BAHATI MBAYA iwapo watatolewa kwenye makundi ya CL,hivyo hio europa cup no one bothers....dream ni CL which we've won 3 times,one of them BEATING YOU in UR BOSS' HOME COURT!!!!how sweet is that???!!!

Hahahaaaa Huna hoja weye na Manure yako!

Msimu huu uko kwenye CL au uko wapi? Hahaaaaaa!
 
Hahahaaaa umekuja unataka kuleta ubishi?

tatizo lako ni kuwa as long as ni chelsea inazungumziwa tena anaezungumza ni agosti 8 wewe huchuji unabeba tu na anaehoji kwako unamuona ana tatizo....huyu jamaa kasema chelsea ndio timu pekee kufika 1/4 na 1/2 ya ECL which is wrong na najua kabisa yeye anajua....maana yake ni last season[he didnt specify] lakini hata hio last season pia kakosea man utd ilifika 1/4 ndio tukachapwa na bayern
 
Last edited by a moderator:
Chelsea fc ndio timu imara kwa England mtake msitake!

Angalieni matokeo ya Jana ya CL kwa timu za EPL Alafu uje uringanishe na ya Leo uone kz!

Mtasema sn Lkn ukweli utabaki pale pale!

Unamaanisha kihistoria au msimu huu??
 
mwendo ni ule ule....chelsea ndo mpango mzima....

Washabiki tuna kazi kweli, timu zetu zikishinda mechi 4,5,6 hivi tunaanza kubwatuka. Nyie chelsea matairi yakianza kutoka mtakula kona wote. Kuweni confident ila msiwe cocky, Chelsea mnaanza kuwa cocky! Ila Nawatakia kila la kheri leo.
 
nilitaka useme..kumbe mlichapwa ndo ukawa shabiki maandazi wa Galatasaray na ATM?

ha haha siyo mbaya..umebaki historia mtu wangu...:wacko:

tatizo lako ni kuwa as long as ni chelsea inazungumziwa tena anaezungumza ni agosti 8 wewe huchuji unabeba tu na anaehoji kwako unamuona ana tatizo....huyu jamaa kasema chelsea ndio timu pekee kufika 1/4 na 1/2 ya ECL which is wrong na najua kabisa yeye anajua....maana yake ni last season[he didnt specify] lakini hata hio last season pia kakosea man utd ilifika 1/4 ndio tukachapwa na bayern
 
MATAYARISHO YA LEO USIKU KUMFUNGA MJERUMANI.

1410869897641_Image_galleryImage_John_Terry_right_speaks_t.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom