Huyo ndio mkuu agosti 8 mzee wa mapicha!
![]()
MATAYARISHO YA KUWAKABILI WAJERUMANI SHALKE 04...
SALAMA?
AISEE UMEPOTEA SANA WEWE..msalimie BJ..mwambie atembelee hapa CHELSEA FC THREAD tuongelee mpira..:A S-eek:
![]()
JOSE MOURINHO - LEO MCHANA KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ...
amesema kwamba timu itafanya juu chini kufuzu katika hatua ya makundi...IKUMBUKWE KWAMBA
CHELSEA FC ndo timu pekee{kutoka Uingereza} kufika katika hatua ya ROBO FAINALI NA NUSU FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE.

whaaat??? liverpool won it 5 times....man utd three times,wewe unazungumzia robo na nusu fainali
Hahahaaaa umekuja unataka kuleta ubishi?
hivi ni kweli chelsea ndio timu pekee kufika CL robo na nusu faiali??
whaaat??? liverpool won it 5 times....man utd three times,wewe unazungumzia robo na nusu fainali
whaaat??? liverpool won it 5 times....man utd three times,wewe unazungumzia robo na nusu fainali
REMEMBER:
CHELSEA FC THE ONLY TEAM FROM ENGLAND TO WIN ALL UEFA MAJOR COMPETITIONS:
1. CHAMPIONS LEAGUE.
2. UEFA EUROPA LEAGUE.
3. CUP WINNERS CUP.
NO ONE LIKE CHELSEA FC.:hail:
![]()
CHELSEA FC vs SHALKE 04. Hapa ilikuwa Oktoba{mwezi wa 10} mwaka 2007..chini ya ukoch wa Avram Grant; Ten Cate na Steve Clarke.
anazungumzia msimu uliopita