Firewall
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 272
- 61
Falcao is coming to show how to score
cant wait ths today
Leo draw ndo ushindi wenu..
Falcao is coming to show how to score
cant wait ths today
Kijeba
Haya wakuu,wakati wenu huu wa kujitamba na mwaka huu mkikosa kombe sijui mtaleta kisingzio gani!!Who will be next? Naona Man City wamepoteana mwanzoni tu mwa msimu. Kombe letu safari hii tena itakuwa kwa record ya kutofungwa au kuwa na point nyingi zaidi...
The Blues Forever
Huyu akianza kuumwa magonjwa ya wazee sitashangaa
Timu imekuwa nzuri ndio maana hata Tajiri mwenyewe kwenye mechi za Home amekuwepo uwanjani. Na anaona hela yake ikizaa matunda. Striker anastrike kweli. Next week anaweka record yakufunga 5 games in a row. Hadi sasa yeye ndo anaongoza kwa magoli mengi Ulaya.
Costa mnyamaaaaaaa.
Nilimwambia Mosdef tangu mapema kwamba hana timu..mechi 4 tu kashapoteza 2..sasa tukifika mechi 10 itakuwaje?
safari ngumu sana kwao..alaf kitu kingine ni kwamba wamesajili wachezaji wengi mno kwa mpigo...kama mafungu ya nyanya..:A S-eek:
nyie tulieni na wale majeruhi wawili pale mbele, falcao + van.. Subirini draw nyingine leo mshangilie..! blue is the colour..
reds are da devil
Waombee aendelee kuwa kwenye form hvyohvyo na wala asiumie!!
Haya wakuu,wakati wenu huu wa kujitamba na mwaka huu mkikosa kombe sijui mtaleta kisingzio gani!!
Hlo sahau bingwa kutambulika mpk mwezi wa tano
[COLOR=#ff0000 said:GANJA ROLLER[/COLOR];10594805]unaonaje kama January kwe dirisha dogo mkatuuzia Man U aje akutane na World classic players pale maana pale naona kama anafanya kazi kubwa sana ambayo muda si mrefu atachoka,na ukizingatia Chelsea huwa hawakumbuki mazuri uliyowafanyia (Refer:A.Cole,Essien,De Mateo etc).Maana sasa ndo anabeba team.
Waombee aendelee kuwa kwenye form hvyohvyo na wala asiumie!!
BINGWA ATAJULIKANA MWEZI WA 4. MARK MY WORDS!!
:flame:
endeleeni kuomba..
sisi tumeshapewa na tumepata..:hail:
nyie watu wazima hadi sasa pointi 2 tu?
mnachekesha sana nyie...:wacko:
Mark my words.bingwa atajulikana mwezi wa tano,
sisi pia tushapata na ligi tunaianza leo,anza kutuhesabia ushnd
nyie mmetuzidi mchezo mmoja so punguza fujo walau kidogo.ngoja tulingane michezo ndo useme tunapoint mbili
Nilimwambia Mosdef tangu mapema kwamba hana timu..mechi 4 tu kashapoteza 2..sasa tukifika mechi 10 itakuwaje?
safari ngumu sana kwao..alaf kitu kingine ni kwamba wamesajili wachezaji wengi mno kwa mpigo...kama mafungu ya nyanya..:A S-eek: