Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Are any Chelsea fans still in the mindset that Diego Costa’s signature was a big gamble? Who would argue with Jose Mourinho? Despite trailing to a John Terry own goal, Chelsea quickly took a hold of the game but it took them until the 44th minute to get on the scoresheet.-Cesc Fàbregas -found the head of Costa to send the teams in at half-time all square.

In the 56th minute-Fàbregas and Costa combined again to send the home side-2-1 up.-Ramires set up Costa for his hat-trick just 11 minutes later. Chelsea’s day was rounded off by a debut goal for-Loïc Remy.-Jonjo Shelvey’s late consolation wasn’t enough to spoil the mood at Stamford Bridge.
 
BxbvTgoCYAA7pYu.png
 
ImageUploadedByJamiiForums1410635837.664080.jpg mshambuliaji hatari wa clabu ya chelsea diego costa ameanza kuonyesha makali yake, na kuwathibitishia wapinzani wake ambao walimponda na kumwambia si kitu kuwa habaatishi, mshambuliaji uyo raiya wa spain mpaka sasa anaongoza kwa kupachika mabao katika ligi iyo kwani mpaka sasa ameshatupia mabao saba
 
View attachment 185089 mshambuliaji hatari wa clabu ya chelsea diego costa ameanza kuonyesha makali yake, na kuwathibitishia wapinzani wake ambao walimponda na kumwambia si kitu kuwa habaatishi, mshambuliaji uyo raiya wa spain mpaka sasa anaongoza kwa kupachika mabao katika ligi iyo kwani mpaka sasa ameshatupia mabao sita ,
nimemkubali huyu jamaa
 
Hiyo ndio machine mbadala wa simba Mzee. Angalia hata ushangiliaji wake kama simba mwenyewe.

Na msaidizi wake Loic remy nae motoooooooo. Wallah mtatukoma mwaka huu.

Bado ma assist wa ukweli akina Cesc na dribler hazard dah sioni wachovu mtatokea mlango gani mwaka huu
 
Nilimwambia Mosdef tangu mapema kwamba hana timu..mechi 4 tu kashapoteza 2..sasa tukifika mechi 10 itakuwaje?

safari ngumu sana kwao..alaf kitu kingine ni kwamba wamesajili wachezaji wengi mno kwa mpigo...kama mafungu ya nyanya..:A S-eek:

pole mkuu Mos Def..
 
Timu imekuwa nzuri ndio maana hata Tajiri mwenyewe kwenye mechi za Home amekuwepo uwanjani. Na anaona hela yake ikizaa matunda. Striker anastrike kweli. Next week anaweka record yakufunga 5 games in a row. Hadi sasa yeye ndo anaongoza kwa magoli mengi Ulaya.
Costa mnyamaaaaaaa.
 
Hiyo ndio machine mbadala wa simba Mzee. Angalia hata ushangiliaji wake kama simba mwenyewe.

Na msaidizi wake Loic remy nae motoooooooo. Wallah mtatukoma mwaka huu.

Bado ma assist wa ukweli akina Cesc na dribler hazard dah sioni wachovu mtatokea mlango gani mwaka huu

Ngoma ikivuma sana haichelewi kupasuka.Subiri
 
kwa aina ya wachezaji wanaomzunguka diego nadhani msimu huu atafikisha goli zaidi ya 30
 
Timu imekuwa nzuri ndio maana hata Tajiri mwenyewe kwenye mechi za Home amekuwepo uwanjani. Na anaona hela yake ikizaa matunda. Striker anastrike kweli. Next week anaweka record yakufunga 5 games in a row. Hadi sasa yeye ndo anaongoza kwa magoli mengi Ulaya.
Costa mnyamaaaaaaa.

unaonaje kama January kwe dirisha dogo mkatuuzia Man U aje akutane na World classic players pale maana pale naona kama anafanya kazi kubwa sana ambayo muda si mrefu atachoka,na ukizingatia Chelsea huwa hawakumbuki mazuri uliyowafanyia (Refer:A.Cole,Essien,De Mateo etc).Maana sasa ndo anabeba team.
 
Nyie tulieni na wale majeruhi wawili pale mbele, Falcao + Van.. subirini draw nyingine leo mshangilie..! Blue is the colour..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom