lonewolf ranger
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 476
- 149
costa ni hatari ila falcao atakuwa hatar zaidi!
Hongereni humu mbona hakuna shamra shamra za kuendelea kuwepo kileleni? Hamna imani na timu yenu au ni aje?Doroooo! Khaaaaa!!!!
Tumezoea kaka, Ingekuwa Arsenal ingekuwa shida, sisi ni vitu vya kawaida