sjui kwa nn unawachukulia poa sana hao watoto
Leo kidume DC atapiga hat trick, Chelsea mbili vs Swans 1,
diego costa kapiga hat trick
chelsea 3 swansea 1 dk 68
Yametia DIEGO COSTA 3 -Swansea 1
Nadhani sasa umenielewa nilichokuwa nasdma, Umeridhika na kiwango?Naona mnaongoza kwa sasa ila Swansea sio timu ya kuidharau kama wengi humu walivyofanya