Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kipindi cha kwanza kimekatika bado hakuna aliyemuona mwenzake. Wadau vp kipindi hiki cha kwanza mmekionaje?
 
Alafu Chelsea wamekamilika noma tupu, yani hiyo listi yenu ya mauaji
mkuu mbona unaogopa bila wasi wasi game hipo open hio mkituliza akili tu.nafasi zimeonekana sema timu zote wameshindwa kutuliza akili na kuzitumia.game hipo wide open.
 
Kipindi cha kwanza kimekatika bado hakuna aliyemuona mwenzake. Wadau vp kipindi hiki cha kwanza mmekionaje?

The home side probably had the better of the first 45 minutes without ever dominating against the current Premier League champions.
 
Duh,

Dakika hizi mbaya sana, Chelsea katika wakati mgumu kuliko maelezo 🙁
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…