Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

PLAYER OF THE MONTH NOMINEES: AUGUST

- Diego Costa (Chelsea)
- Cesc Farbregas (Chelsea)
- Gylfi Sigurdsson (Swansea)
- Nathan Dyer (Swansea)
- Andreas Weimann (Aston Villa)

COACH OF THE MONTH NOMINEES:
- Paul Lambert (Aston Villa)
- Garry Monk (Swansea)
- Jose Mourinho (Chelsea)
- Mark Hughes (Stoke City)

SPECIAL AWARD:- total entertainment
- Van Gaal (manchester united)
 
utashangaa matokeo yatakavyokuja..lakini la muhimu ni mechi yetu ya jumamosi vs Swansea..


PLAYER OF THE MONTH NOMINEES: AUGUST

- Diego Costa (Chelsea)
- Cesc Farbregas (Chelsea)
- Gylfi Sigurdsson (Swansea)
- Nathan Dyer (Swansea)
- Andreas Weimann (Aston Villa)

COACH OF THE MONTH NOMINEES:
- Paul Lambert (Aston Villa)
- Garry Monk (Swansea)
- Jose Mourinho (Chelsea)
- Mark Hughes (Stoke City)

SPECIAL AWARD:- total entertainment
- Van Gaal (manchester united)
 
Chelsea_double_winner_2009-10.JPG
 
article-2479122-1910B62200000578-724_634x535.jpg


CESAR AZPILICUETA - Baada ya kufunga goli vs Arsenal fc kwenye CAPITOL ONE CUP.
hili ni goli pekee la Cesar tangu ajiunge Chelsea Fc...hii ilikuwa msimu uliopita..:wacko:
 

Kaka asante kwa Kumbukumbu Mujarabu, Kila nikiangalia Hizo Picha nakumbuka sana jinsi Kidume Didier Drogba alipouzihirishia ulimwengu kuwa yeye ni mongoni mwa Mastriker bora kabisa waliowahi kutokea Duniani

Wakati Anaondoka Chelsea, Timu ilimtambua kama miongoni mwa Mastriker wachache walifanya mambo makubwa sana ndani ya Chelsea (one of the Chelsea's greatest strikers in history)
Akiwa ndani ya Chelsea Drogba alibeba Makombe yote makubwa ya England (Premier League2, the FA Cup, the League Cup) na pia alishachukua kiatu cha Dhahabu (EPL Golden Boot) Mara mbili

Wakati anatoka Chelsea waandishi na Manguli wa mambo ya soka waliorozesha mambo kumi makubwa kabisa yaliyofanywa na Drogba ndani ya Chelsea

10. Kufunga Hat trick siku ya mechi ya mwisho ya EPL ya msimu wa 2010, Chelsea Iliifunga Wigan Athletics bao 8-0 na kuwa Bingwa wa ENGLISH PREMIER LEAGUE, Drogba alitupia tatu na kuwa MAN OF THE MATCH
99596130_crop_exact.jpg
 
09: Alifunga Goli la maajabu dhidi ya AC Milan 2009
Akiwa ndani ya Mita 35 aliachia shuti la hatari kabisa na Baadhi ya waandishi wanasema inawezekana hilo ndio lilikuwa goli bora sana la Didier Drogba

08: Goli dhidi ya Barca kwenye nusu fainali ya UEFA 2012
Japo alikuwa Goli la Kuvutia sana lakini lilikuwa goli muhimu sana kwa Chelsea kuelekea fainal na Kuweka hope ya kuchukua Kombe la UEFA 2012
143054899_crop_exact.jpg
 
MECHI ZETU MBILI VS BARCA - 2012 TULIPATA NAFASI CHACHE SANA LAKINI TULIZITUMIA VIZURI.

Nakumbuka Wonder Boy..Ramires alikimbia na mpira kwenye wing ya kushoto na kutoa krosi nzuri kwa Simba Mzee ambaye bila ajizi aliweka mpira kimiani..

CHELSEA FC - THE PRIDE OF LONDON.


09: Alifunga Goli la maajabu dhidi ya AC Milan 2009
Akiwa ndani ya Mita 35 aliachia shuti la hatari kabisa na Baadhi ya waandishi wanasema inawezekana hilo ndio lilikuwa goli bora sana la Didier Drogba

08: Goli dhidi ya Barca kwenye nusu fainali ya UEFA 2012
Japo alikuwa Goli la Kuvutia sana lakini lilikuwa goli muhimu sana kwa Chelsea kuelekea fainal na Kuweka hope ya kuchukua Kombe la UEFA 2012
143054899_crop_exact.jpg
 
07: Alipiga Goli la Ushidi dhidi ya Arsenal kwenye League Cup Final ya 2007 na alitawazwa kuwa MAN OF THE MATCH
Kwa Mara Nyingine Tena umuhimu wa Drogba kwenye mechi muhimu sana ulidhirika, Goli lilipigwa dadika kumi za mwisho huku kila mtu akijua tutaenda Extra time

73416904_crop_exact.jpg


06: Ushindi wa kwanza EPL akiwa na BLUES kwenye msimu wa 2004-2005
Akiwa amejiunga na Chelsea akitokea Olympique Marseille, Drogba alionyesha makucha yake kwa kuweza kufunga Goli kumi kwenye msimu wake wa kwanza tu ndani ya Blues

56030561_crop_exact.jpg
 
05: Goli la Ushidi dhidi ya Portsmouth kwenye Final ya FA cup 2010
Hapo Drogba alidhihirisha uwezo wake hasa kwenye Mechi kubwa na za Muhimu, alipiga Magnificent Freekick iliyoiwezesha Chelsea kubeba Ndoo ya FA ndani ya Wembley

99570631_crop_exact.jpg



04: Goli Muhimu sana la Kusawazisha, kwenye Mechi ya Fainal UEFA Champions Leagues 2012 dhidi Bayern Munich
Zikiwa zimesalia Dakika Tano mpira uishe, Bayern Munich walikuwa mbele kwa Goli moja, na watu walishajua Bundesliga wamechuka Kombe, kwenye hiyo dakika ya 85 Chelsea wakapata kona ya kwanza tangu mchezo uanze, huku Bayern wakiwa wameshapiga Kona 12, Kama Kawaida ya DROGBA, umuhimu wake unaonekana kwenye Mechi ngumu na za Muhimu, Drogba alitupia Goli la Kichwa lililozima Kelele zote za Bavaria na kuifanya Mechi iingie Extra-Time

144795653_crop_exact.jpg
 
03: Goli la Ushidi dhidi ya MAN UNITED kwenye Fainali ya FA CUP 2007

Mechi ilikuwa kwenye extra time baada ya kukosekana goli kwa dakika 90 za mwanzo, Huku mashabiki wakiwa na uhakika wa mechi kufika kwenye matuta, lakini DROGBA Akauwambia umma uliokuwa Wembley na Wapenzi wote wa MAN U kuwa hii mechi anaimaliza bila Matuta, Kwa uzoefu wake wa MEchi ngumu na za muhimu DROGBA aliwanyamazisha mashabiki wote wa Mashetani Wekundu kwenye dakika ya 115, na kukileta kikombe Darajani

74194811_crop_exact.jpg


02: Penalt ya Ushindi dhidi ya BAYERN MUNICH kwenye fainali ya UEFA 2012 ndani ya BAVARIA
Macho ya Dunia Nzima yakiwa kwa DROGBA ambaye ndiye alikuwa anapiga mpira wa meisho wa hiyo mechi ya fainal, Drogba akiwa ametulia kisaikolojia na yuko very focused, huku akijua kuwa hili ni tukio gumu na muhimu sana, na huku akijua kuwa yeye ni mzee wa Matukio Magumu na Muhimu, alimwamisha Kipa wa Bayern na kumpeleka kulia huku kwa upole akiutupia Mpira kwenye nyavu ndogo za kushoto, na alipoangalia Jukwaani akaona Bendera za Blue Zinapepea kuashiria kuwa wamelipokea Kombe kwenye Mashelf ya pale Darajani

144812615_crop_exact.jpg

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom