Yani wewe umenichefua sehemu moja tu.
Nu yuma ya
1 Chesea Fc
2 Man City
1 Arsenal
4 Liverpool
5 Man Utd
TUKIWEKA ushabiki PEMBENI, mpaka sasa Chelsea ni BIG FAVORYT katika UBINGWA wa EPL this season (hilo halina ubishi)..with Man City behind Them, Lakini kuwaweka Arsenal Number 3 hapo, bado sjaelewa umetumia vigezo gani!!!
1.CHELSEA
Last season weaknes ilikuwa ni kwenye ushambuliaji, this season lishakuwa sorted.
Diego costa>Torres
Loic Remy>Demba Ba
Samuel Eto'o>Didier Drogba
Cesc, Hazard, Willian, Schurle, Oscar, Salah, All playing BEHIND THEM..
2. MAN CITY.
Last season weaknes ilikuwa ni defense, Lakini bado sijawa conviced kuwa MANGALA atasaidiana na Kompany kulimaliza hili..Nadhan walihitaj pia a strong LB, gutted they went in for Sagna (he's Good, lakin UMRI unamtupa)..
Na pia sijui kwa wengine, lakin katika game hiz 3 za kwanza sidhan kama YAYA TOURE amepiga ule mpira wake wa last season which ndo ilikuwa KEY kwa Man City kubeba kombe..Perfomance ya YAYA ndo itadertamine mwenendo wa City this season, ni mapema kusema lakin, sidhan kama Yaya atakuwa katika ile PICK yake..(UMRI).
Striking Force ya Man City bado ni KALI saaana, na sidhan kama walikuwa wanahitaji huduma ya Falcao..JOVETIC is like a New signing (anacheza kama Messi, yaan anahama sana nafas ndan ya uwanja, ndo kumkaba inakuwa kazi, kila sehemu ya mbele anazunguka)..and he's young na na ana NJAA ya kuprove uwezo wake..
But Perfomance ya YAYA, REGES na FERNANDINHO ndo tegemeo kubwa la Man city..with that midfield itakuwa ngumu sana kushinda kama Kocha wa team pinzani atashindwa kuweka mbinu za kukikamata!!!
hahah..am looking foward kuona Midfield BATTLE ya REGES Vs MATIC, its gonna be very AMUSING to watch dat SHIT..
NB.
Pereglin ni MASTER TACTICIAN, so usishangae akichukua tena, By the way HIZI NDO TEAM ambazo ndo zina nafasi KUBWA ya kuchukua UBINGWA kulingana na UBORA na UKUBWA wa vikosi vyao..
Lakini league ina mambo MENGI, We didnt Expect ATM kubeba League Ya Spain last season mbele ya GIANTS wa SPAIN, Madrid na Barcelona, But when you talk about Title favortyts lazima utaanza na Madrid au Barca kulingana na aina ya wachezaj walionao..thats how FOOTBALL WORKS.