Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Mechi ya leo haitabiriki hata kidogo wakuu(Man Utd hawatabiriki kabisa hawa jamaa).Cha msingi tuzisubiri hizo dakika 97......ooops sory dakika 90
...usisahau na refa pia.
Yangu mie ni macho tu. Tukizidiwa lazima Invisible
afanye 'sytem upgrade' subirini muone...LOL!🙂
Leo kama kawa VIDIC atamtia DROGBA mfukoni...usisahau na refa pia.
Yangu mie ni macho tu. Tukizidiwa lazima Invisible
afanye 'sytem upgrade' subirini muone...LOL!🙂
Leo kama kawa VIDIC atamtia DROGBA mfukoni
My prediction Chelsea 2 MANU 0
Mechi ya leo haitabiriki hata kidogo wakuu(Man Utd hawatabiriki kabisa hawa jamaa).Cha msingi tuzisubiri hizo dakika 97......ooops sory dakika 90
Man U inapigwa 3-0
Mtani wangu vp?...Hapo leo lazima nikupe tano ya nguvu...kina Belo na Manda watakupiga makonzi wakikusikia...LOL!😀
Mazee leo hauna mtihani? 😀
Kwa ninavyodhania Chelsea kama haitochukua ubingwa mwaka huu basi itabidi isubiri miaka mingine kama 5 hivi wapate tena mix nzuri ya wachezaji. Mechi ya leo kwa kiwango kikubwa itatoa picha ya ubingwa, maana Liva wameshafulia na Arsenal sio timu ya kuaminika.
Arsenal bingwa
Vp umelikuwa umelala nini ulipokuwa una andika hii ndoto yako hapo? Au ndo zile za mchana.
Teh teh teh wepesi hao, si unakumbuka mechi ya mwisho tuliwapiga 4-0 kama Bolton!
Na kwa nini iwe ndoto?
Kama iliwezekana misimu hii (1990–91, 1997–98, 2001–02, 2003–04)
kwa nini isiwezekane sasa? usifuate mkumbo, be realistic! As we stand Chelsea, ManU na Arsenal wote wana realistic chance ya kuwa mabingwa.
...Nuff sed, mkuu.The battle of the midfields will dictate the winner of this game, I see only Chelsea winning, Essien, Lampard and co will be too strong for Utd quarter plus their record at Bridge is excellent. 2 - 0 to Chelsea