Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Msimu wa 1997/1998 CHELSEA Fc tuliifunga Barnsley Fc magoli 6-0!





Jaribu kusoma kabla haujapost. BARNSLEY FC haichezi Premier League, iko League One. Umechanganya na Burnley FC.
 
Jaribu kusoma kabla haujapost. Umechanganya na Burnley FC.

Yea, alichoandika kinahusu Barnsley na siyo Burnley.

Msimu wa 1997/1998 Chelsea iliifunga Barnsley goli 6-0.

Ndiyo msimu ambao Barnsley ilifanikiwa kucheza in the top flight kabla ya kushuka daraja msimu uliofuta and since then haijawahi kucheza tena in the Premiership.

Nafikiri mashabiki wa Man Utd wanaijua zaidi Burnley FC.

Halafu wanakipiga nao mwishoni mwa mwezi huu.
 
Mkuu agosti 8 toka UEFA tulipochapwa nikalog off ndo naonekana leo ko nimekuwa mgeni nipokeeni tu kwa moyo mweupe.
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu EMT, tuko hapa nyumbani kila siku kusongesha hili gurudumu; mpira mpira mpira.

habari za siku lakini?:wacko:


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…